Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Afe kumx la mama make
Mwaka huu fazafaka wa Kizimkazi ana hard time. With hubby already gone, the sudden departure of the fallback toyboy is a bonus blow to the fazafaka!MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Nyoosha maelezo vzr chawa, hapo mlengwa ni huyo mamaenu kilaza...kumbuka huyo jamaa tumemfahamu kupitia samuya!Kweli umaskini ni laana, maskini ana roho mbaya sana! Watu wanafurahia kifo cha kijana wa watu Mzimbabwe amewakosea nini? Hizo chuki ni aibu, ni roho ya kishetani. Km we ni maskini ndiyo umchukie tajiri?
Usifoke msibani kausha kwanza hadi tuzike......Na wanawake walivyo washenzi, kifo cha hawara waga kinawauma zaidi kuliko cha waume zao.
Exactly kuna case nimeshinda naisoma hapa leo nimeelewa huyu jamaa power alikuwa anaitoa wapi ,ni corrupted yeye na kiongozi wake mnangagwaKusema ukweli hisia zangu huyu marehemu biggie namhidi alibusika kuingiza sila zilizo tumika kwenye ukatili wa MO29.
Nahisi pia alikuwa anatumika kwenye biashara haramu mfano utakatishaji pesa za viongozi wa nchi ya Malawi.
😂😂😂 kabisaa, vijora muhimu, waseme ugeni umetoka TZ, ni kulia na kugala gala, na uzuri scene hiyo tuko vizurii.Tunavyomsindikiza baba zuri Songwe tuunganishe msibani, kuna gari za kwenda Zimbabwe pale Tunduma..!! 😹😹😹
Uduguu uwahi kijora cha msibani, sio uibuke na kinjunga chako…!!
Halafu kishona kinapanda?
Tukifika sisi ni kugalagala na kulia tu.
Tunanyamaza muda wa msosi na wa kula bia..!!
Shogaa maubuyu yapo ya kutosha na connection nazo zipo ushindwe weyeee tu..!! 😹😹
Jamani wafiwa mda wa kupiga soga mnapata wapi? Nyie ni kugala gala na kulia kwa kwikwi.Shogaa maubuyu yapo ya kutosha na connection nazo zipo ushindwe weyeee tu..!! 😹😹
Huwa anachukua tenders za serikali, na anapiga deals chafu.. kwenye hizo tender it's possibly alihusika na 29 Oct.Yeye ndie alileta kontena la silaha zikaja kuwaua ndugu zetu 😭😭😭😭
Hii inasadifu ujasusi uchwara wa mwanajf mchangiaji wa uchumi wa Mbs!Ona maneno ya watu wa mtandaoni
View attachment 3681359
Alihusika pakubwa mno aende zakeHuwa anachukua tenders za serikali, na anapiga deals chafu.. kwenye hizo tender it's possibly alihusika na 29 Oct.