babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Fasta tu namna hiyo Bye bye aisee
Ni nani huyo!!?Kuna mdau jukwaani Leo alileta mada kwamba hatimaye ameweza kuingia JF bila VPN. Baada ya muda mfupi habari ya Chiva ikarindima jukwaani.
Eheee... watu wako mbele ya mda
Indeed.....Bila Mungu
In fact can officially be declared that there isn't a clear boundary between life and death! Na itungiwe sheria kabisa kila binadamu aelewe hivyo."Mwanadamu yupo hatua Moja tu kati ya Mauti"
Jefrey Wanjala Munialo.
"Sitting in a sandpit, life is a short trip / The music's for the sad man"MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Golden chance is through spiritual not by physical bodyIndeed.....
Ukiondoka ndio imeenda hiyo
Golden chance never come twice!!!
Hakuna haja ya hofu.Hofu kwa wanamtegemea au kutegemea biashara zake, alioungia nao mikataba na deals mbalimbali
Hiyo inaitwa "back to back" sa100 aunganishe edaMwaka huu mgumu sana kwa 🕔100
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Malipo ni hapa hapa ila matajiri wa zimbabwe vifo vyap ni ajali na wanaondoka vijana na malizao walivyozipata huwa ni giza nene.Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
niliona juu juu tu before ni log in nilikua nacheka sana 😆😆Unapitwa mno wee mmbea gani? 😹😹
Aisee mshikaji kaenda na familia yake yote.
Anaitwa Presidents' bankersDuuh, kwani huyu jamaa chanzo cha utajiri wake ni nini?
Unakumbuka Kuna makam aliwahi husishwa na kufadhili silaha waaasi wa kongo wakamsepesha!!?Yeye ndie alileta kontena la silaha zikaja kuwaua ndugu zetu 😭😭😭😭
Watu wakaribu na Maza wengi watadanchi siku si nyingi na kutengeneza uzuni mwingi sana kwake...."alisikika Nabii moja akisema"Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia: