Chadema wanazipenda hatari! Ni hatari sana ile kitu.
Huyo ni baba yetu mdogoHabari mbaya hii kwa mama yenu.
Wafiwa kutoka Tanzania tushaandaliwa ghorofa letu la kupumzika 😹😹😹😂😂😂 kabisaa, vijora muhimu, waseme ugeni umetoka TZ, ni kulia na kugala gala, na uzuri scene hiyo tuko vizurii.
Kwanza sisi tunaenda kukaa ndani sehemu ya wafiwa wenyewe.
😂😂😂😂 na haturudi hadi 40 ipite.
Unapitwa mno wee mmbea gani? 😹😹aweee! mambo niyapendayo 😂
kina britanicca na de levis wamekaa kimya sana hawa post kabisa,inaweza ikawa ni kupisha utekelezaji wa mabandiko yaoKuna mdau jukwaani Leo alileta mada kwamba hatimaye ameweza kuingia JF bila VPN. Baada ya muda mfupi habari ya Chiva ikarindima jukwaani.
Msiba wetu wa kitajiri tunalia huku tunazogoa..!! 😹😹😹Jamani wafiwa mda wa kupiga soga mnapata wapi? Nyie ni kugala gala na kulia kwa kwikwi.
😂😂😂😂
Watoto 2R.I.P.
Nikasome na kusikiliza udaku kama mke wake wa kwanza aliyeachwaaaaaa
Yupoje.. Wana watoto?
Akae eda siku 80 😁asee, MUacheni sa100 wa watu amalize Eda yake salama
Ubaya wa hizi mambo za kijasusi Huwa Zina cost maisha ya wengi wakati tagert ni mmoja!hebu fikiria walipa Kodi sita kwa tagert mmoja!
Duh! Kihistoria na kinajimu Septemba haijawahi kwenda kavu bila tukio la maana.Flydubai nayo imetua saudia kwa dharura
kama ginimbi
nahisi hapo bondeni wana uchawi wao wa short term
Bila MunguMaisha ni UBATILI
Hahaha na kanji anagoma ku cash out. Hii ngoma ngumuu.Yaani hapa ndio kwanza tupo second half dakika ya 48, wamehamia golini kwetu na sisi wote tumegeuka mabeki tunaokoa michomo tu ya ON target. hapa cha kutuokoa ni counter tu.