aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Huu mzaha hata mimi niliufikiria 😁Ila lile jamaa kwa weight yake huenda helicopter ilikuwa overloaded ndo ikasababisha hitilafu mpaka hiyo crash 😁.
Huu mzaha hata mimi niliufikiria 😁Ila lile jamaa kwa weight yake huenda helicopter ilikuwa overloaded ndo ikasababisha hitilafu mpaka hiyo crash 😁.
Wewe ni mtu katili sana. Nakuombea upaliwe ufe na chochote utakachokunywa.Jamani eda ya pili? 😥😹
Hilo dubwasha limechangia ndugu zetu kufa bora na lenyewe lilivyokufa..!!
Nilikua nna mpango wa kulala acha nitafute kitu kwenye counter yangu nienjoy kidogo..! 🍾🥂
Kwetu si tuna shereheeeeeee 🍻
Sidhani kama na watoto walikuwa kwenye hiyo chopaAisee mshikaji kaenda na familia yake yote.
Njoo Kwangu tunywe woteJamani eda ya pili? 😥😹
Hilo dubwasha limechangia ndugu zetu kufa bora na lenyewe lilivyokufa..!!
Nilikua nna mpango wa kulala acha nitafute kitu kwenye counter yangu nienjoy kidogo..! 🍾🥂
Kwetu si tuna shereheeeeeee 🍻
Tunawashinda nyie mlioua Watanzania wenzenu elfu kumi??Wewe ni mtu katili sana. Nakuombea upaliwe ufe na chochote utakachokunywa.
Nao wameenda, yani ni mke na watoto wawiliSidhani kama na watoto walikuwa kwenye hiyo chopa
Ili uninywe na mimi? 😹😹Njoo Kwangu tunywe wote
Ni yeye mkewe na watoto wake wawiliSidhani kama na watoto walikuwa kwenye hiyo chopa
Ya Samia Iko wapi utabiri wakeUtabiri umetimia
Ila marehemu alikua na dharau, kwani alikua anatoa kumbato kwa taifaMillionaire businessman Wicknell Chivayo and his wife, Lucy “Lulu” Muteke, have reportedly died after a helicopter crashed near Marondera on Wednesday, 30 September 2026.
Eda ya pili inaanza!
Hii ni hatari Sana kama I hivyoNi yeye mkewe na watoto wake wawili
Na wewe zikuue tupunguze wajinga nchini..!!Hizi helikopta sio salama kabisa. Zimeua watu maarufu wengi.
Hela zote alizokuwa anawapa wachungajiInna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajiun,
Huyu mpuuzi alisababisha JamiiForums kufungiwa.
Siku ikifika imefikaHizi helikopta sio salama kabisa. Zimeua watu maarufu wengi.