loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Asee mwamba katangulia. Nimefika Ghetto nafungua JF na FB nimeshtuka sana asee. Haya maisha hayana garantiii kabisa hata ukiwa na hela.
Halafu ajali za ndege ndogo hizi casena single engines na helicopter zimefululiza sana duniani mwaka huu. Hata private jets.
Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.
Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.
Wapumzike tu salama.