TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

IMG-20260930-WA0065.jpg

Kifo ni siri. Alijifanya kuja kutoa pole kafa yeye. Duniani yote ni ubatili mtupu
 
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!, huyu ni kijana mdogo kabisa!,
Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.

Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
Mkuu nikusahihishe kidogo yule tajiri wa Nyatco(Nyasanga) yupo hai,, alikuwa anasali Mlima wa Moto, enzi zile za mwenyewe Getrude, aliyefariki alikuwa na kampuni ya mabasi jina lake nimesahau, ila wote ni wa kabila la Wakinga.
 
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.

A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”

View attachment 3681327
Inategemea kuku alikula punje ngapi??
 
Tumbo lile na helikopita wapi na wapi? Kilo 320 alizokuwa nazo zinatosha kubadilisha center of gravity upepo kidogo tu kinaumana. Na hela zote zile alishindwa kupunguza huo uzito? Halafu lilivyo lijinga limebeba familia nzima. So sad!

Samia sijui ana hali gani huko aliko! 😏
 
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.

A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”

View attachment 3681327
God is great samuya must be crying to have lost such an important kingpin.
 
Back
Top Bottom