TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!, huyu ni kijana mdogo kabisa!,
Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.

Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
Hii sio misheni ya igo kweli?
 
Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.

Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.
Utasikia maneno ya maskini hata ukijikwa tu, 'Tafuta hela'
Haya kiko wapi sasa

Ndio manaa watu wakirithi pesa na Mali huwa wanazitumbua bila mpangilio man waliozitdut wakuzipta wanatuona kama wajinga😂
 
Eda ya pili hii
Samia hadi atanyosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa.. Mungu anachukua watu wake wa karibu ili ajifunze.

Vifo vya wanaume wawili ndani ya mwezi mmoja
Screenshot_20260930_223613_Instagram.jpg
 
Asee mwamba katangulia. Nimefika Ghetto nafungua JF na FB nimeshtuka sana asee. Haya maisha hayana garantiii kabisa hata ukiwa na hela.

Halafu ajali za ndege ndogo hizi casena single engines na helicopter zimefululiza sana duniani mwaka huu. Hata private jets.

Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.

Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.

Wapumzike tu salama.
Ukiwa hauna hela unatafuta six park, ukiwa na hela unatafuta tumbo na minyama kama Chivayo
 
Tumekuwa double yatima!
Nawaambiaga watu acheni hizo mambo za kusafiri familia nzima kwenye chombo cha moto ni risk sana

Hata nikija TZ mimi nakata tiketi yangu wife yake na watoto zangu kila mmoja na yakeexcept huyu wa mwisho asiejua kitu

Mama aanze kujifunza

Mlango ni wake ….. when you see your people are dying … know the time is not right
Muda ni hakimu

Diamond aache mbwembwe za kubeba whole family

Nimesikitishwa na kifo cha Young with his family

Sad
 
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!, huyu ni kijana mdogo kabisa!,
Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.

Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
Ulimpenda wewe mimi simo humo kwa walio mpenda
 
Back
Top Bottom