TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Watu walitabiri.

20260930_221723.jpg
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Kwa hiyo ni msiba wa kitaifa au tunaenda mulemule kwamba "kifo ni kifo tu".
Hapa bi Bonge ndiyo amekuwa mjane haswa, ule msiba wa house-husband kule Zenji ulikuwa cha mtoto.
My condolences kwa chawa na UVCCM popote mlipo kwa msiba huu uliotukuka.
 
Back
Top Bottom