% kubwa ya wabongo ni wajinga sanaa yaani wanamchukia mtu ambae hajawakosea lolote.Kweli umaskini ni laana, maskini ana roho mbaya sana! Watu wanafurahia kifo cha kijana wa watu Mzimbabwe amewakosea nini? Hizo chuki ni aibu, ni roho ya kishetani. Km we ni maskini ndiyo umchukie tajiri?
Najiandaa kwenda kizimkazi kutoa pole kwa bimkubwa. Eda sasa miezi 81. Magufuli alikufa
2. Chivayo Kafa
3. Hafidh kafa
Ukila na huyu bibi lazima ufe
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Alisababisha JF kufungiwa zaidi ya miezi mitatuKweli umaskini ni laana, maskini ana roho mbaya sana! Watu wanafurahia kifo cha kijana wa watu Mzimbabwe amewakosea nini? Hizo chuki ni aibu, ni roho ya kishetani. Km we ni maskini ndiyo umchukie tajiri?
Mungu ni mkubwa kila wakati.Maisha haya inatakiwa tuishi kwa unyenyekevu sana, unaweza ukamiliki majeshi, mapesa mengi na ukawa na uwezo wa kufanya kila kitu lakini PUMZI haina hati miliki
😁😁😁Miezi minne na siku kumi plus miezi minne na siku kumi
Alisababisha JF kufungiwa% kubwa ya wabongo ni wajinga sanaa yaani wanamchukia mtu ambae hajawakosea lolote.