TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Bado hakuna taarifa rasmi ya vifo au mejeruhi

Hali ya sintofahamu na taharuki imetanda nchini Zimbabwe kufuatia ripoti za kuanguka kwa helikopta inayodhaniwa kuwa ilikuwa imembeba mfanyabiashara maarufu nchini humo, Wicknell Chivayo.

Tukio hilo limeripotiwa kutokea jioni ya leo karibu na mji wa Marondera. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa katika vyombo vya habari vya ndani na kwenye mtandao wa kijamii wa X, msururu wa zaidi ya ambulensi sita ulionekana ukiondoka kwa kasi kutoka mji mkuu Harare kuelekea eneo linalodaiwa kutokea kwa ajali hiyo.

Hadi sasa, taarifa rasmi kuhusu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo, pamoja na hali ya Chivayo, bado hazijawekwa wazi.

Ikiwa unataka, naweza pia kuifanya iwe ya breaking news zaidi, yenye suspense na lugha ya media kubwa.
AI detected
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.

Soma Pia:
Pole yake sana.

Utaratibu ni ule ule kukusanyana was familia Moja kwenye usafiri ni hatari kuliko kawaida sawa na kwenda kwenye msiba kwenye usafiri wa pamoja au matukio ya pamoja.

Familia ya Chivayo yote imekwenda na maji 😭😭
IMG_20261001_042744_011.jpg
 
Hilo umbo lake,utokee angani na Helicopter hadi afike aridhi,hapo tutarajie,Mjane,atoke Eda,kwenda kuzika Zimbabwe

Kuna kila dalili mama kwenda Eda mbili
Kwani hana Watoto au wawakilishi? Acha upumbavu wewe ,Chivayo ni Tajiri na lazima akutane na wenye madaraka,wewe maskini utakutana na WA level zako
IMG_20261001_042744_011.jpg
 
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, ni kweli, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!" - Patric Balisodya na Afro 70 Band na mtindo wao wa Afrosa.

Huyu Bonge ni kijana mdogo tuu, ila mwili tuu!.!,Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.

Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
Umeumizwa na kifo cha huyo fala?

Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.

Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.

I hope he died in pain.
 
Back
Top Bottom