TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

1000111187.jpg
 
Asee mwamba katangulia. Nimefika Ghetto nafungua JF na FB nimeshtuka sana asee. Haya maisha hayana garantiii kabisa hata ukiwa na hela.

Halafu ajali za ndege ndogo hizi casena single engines na helicopter zimefululiza sana duniani mwaka huu. Hata private jets.

Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.

Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.

Wapumzike tu salama.
Duh ! Nyangwisi kumbe bado unatumia FB ?

Na uepuke bange ni chombo Cha moto pia
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.

Soma Pia:
Yale yale ya Tajiri GINIMBI
 
Kwamba atakuwa ameanguka kama kiloba cha viazi kilichojaa kangomba?

Kila aliyehusika zile siku "dark days" malipo ya zile siku yatakuwa maradufu!!

R.I.P. Balozi Polepole.
Huyu pia alihusika 29 Oktoba kwa sababu ndiye aliyeshirikiana na CCM , alipewa tender ya kusambaza karatasi za kupiga kura na alichangia Samia hela ya Kampeni.
 
Back
Top Bottom