TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Acha kupangia watu maisha,unataka kila mtu afuate unachokitaka wewe?

One day,you are going to die,too.

Everyone will die one day,it doesn't matter whether you are good or bad,

Tafuta hela kwa njia yeyote ile ili upunguze kua na chuki za kimasikini,
Stress za umasikini zitakuua.
WaTanzania wapumbavu sana halafu hamna kitu chochote alichowafanyia huyo jamaa ni wivu na husuda
 
You might be right ibasi ni chatco, kuna tajiri wa mabasi, kijana wa Kikinga, alikuwa amesimama nyuma ya basi yake, akizungumza na watu, mara basi linaanza kurudi nyuma, watu wanapiga kelele kumshtua, yeye hasikii amesimama tuu, gari ilimpush akaanguka chini, zile double tyres za nyuma, zikampandia kifuani!, ni hapo hapo!.
P
 

Attachments

  • IMG-20261001-WA0704.jpg
    IMG-20261001-WA0704.jpg
    63.5 KB · Views: 11
Acha kupangia watu maisha,unataka kila mtu afuate unachokitaka wewe?

One day,you are going to die,too.

Everyone will die one day,it doesn't matter whether you are good or bad,

Tafuta hela kwa njia yeyote ile ili upunguze kua na chuki za kimasikini,
Stress za umasikini zitakuua.
Huyo jamaa ni overrated humu JF ila bonge la LGBT moja la nguvu linavaa mashanga hadi ya matako. Hamna mwanaume rijali mwenye chuki za kike namna hii.
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.

Soma Pia:
Life’s too short, niqqa died way too young.

Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

M.A.P W.C
 
Huyo jamaa ni overrated humu JF ila bonge la LGBT moja la nguvu linavaa mashanga hadi ya matako. Hamna mwanaume rijali mwenye chuki za kike namna hii.
Jamaa anaonyesha kua ana maisha magumu sana,
Faraja yake pekee iliyo baki ni kuchukia tu waliofanikiwa,japo haibadilishi maisha yake halisia!

Alifanya vizuri sana kujiita Nyani.
 
Jamaa anaonyesha kua ana maisha magumu sana,
Faraja yake pekee iliyo baki ni kuchukia tu waliofanikiwa,japo haibadilishi maisha yake halisia!

Alifanya vizuri sana kujiita Nyani.
Na ni nyani kweli halioni kundule ...senge moja tu linafugwa uko ATL, limejaa chuki na udini sasa mtu mwenye akili anashangalia kifo cha mwanadam mwenzio kuzani kama yeye atayeyuka kama barafu. Nyani Kundule hilo.
 
Na ni nyani kweli halioni kundule ...senge moja tu linafuga uko ATL, limejaa chuki na udini sasa mtu mwenye akili anashangalia kifo cha mwanadam mwenzio kuzani kama yeye atayeyuka kama barafu. Nyangu Kundule hilo.
Hilo linyani ni lishenzi TU humu jf na hata nje ya jf , anajionaga yeye ni zaidi ya memba wote wa jf , huyo memba icebreaker kamuweza sana
 
Back
Top Bottom