TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Unakumbuka Kuna makam aliwahi husishwa na kufadhili silaha waaasi wa kongo wakamsepesha!!?

Inaonekana ukifadhili mauaji na wewe unauawa hivi yule Bosco ntaganda (sikumbuki kama ni jina halisi) Aliefadhili silaha kule Rwanda kwenye mauaji ya kimbari Bado anadunda!!?
Naelewa mkuu pia umeniongezea zaidi kuwaza ya nyuma ya pazia maana angekuja kuwa shahidi muhimu sana kwenye angle
 
Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
I hope he died in pain.
Vifo vya plane crash ni instant, kama vifo vya risasi kwenye vital organs,
Binadamu yeyote, anayefurahia kifo cha binadamu mwingine, anayefurahia mateso ya binadamu yeyote, huyo mtu ni sadist!.

Amini usiamini, niliumizwa na kifo cha Osama, Sadaam na Gadafi, na nikasema humu, siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwakuta Osama, Sadaam na Gadafi peponi, halafu ukamkuta Bush, Blair na Obama, motoni!.

Kipimo cha kwanza kuwapima ma sadist, ni wale wanaosambaza the dilapidated photos of the dead children's of the October 29 masaccre wale wauaji wote watashughulikiwa na karma, one by one, kwa wengine karma imeisha anza kwa kuwashughulikia watu wao wa karibu, na mwisho itamalizia nao!.

Please usiweke tena zile picha za wale watoto humu, zinaumiza sana!.
Please!.
 
Back
Top Bottom