Ni kweli amefariki,Duh!! Huyu mungu jamani! Hivi kweli huyu bonge kafa kweli
Dah hii Kifo ni Kifo kwa SA100Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
Nasikia Chungu"Raha ya milele umpe ee bwana"
View attachment 3681312
And the one who dies without Jesus does not rest in peace.Umeumizwa na kifo cha huyo fala?
Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
I hope he died in pain.
Acha kupangia watu maisha,unataka kila mtu afuate unachokitaka wewe?Umeumizwa na kifo cha huyo fala?
One day,you are going to die,too.Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Everyone will die one day,it doesn't matter whether you are good or bad,Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
Tafuta hela kwa njia yeyote ile ili upunguze kua na chuki za kimasikini,I hope he died in pain.
Mbili😄😄😄 eda ngapi
The real seers saw it coming a while ago.Acha kupangia watu maisha,unataka kila mtu afuate unachokitaka wewe?
One day,you are going to die,too.
Everyone will die one day,it doesn't matter whether you are good or bad,
Tafuta hela kwa njia yeyote ile ili upunguze kua na chuki za kimasikini,
Stress za umasikini zitakuua.
shobo nyingi mtu hata hakujui kama una exist, kuna comments zinatia kinyaa sana mfate basi kama umeumiaKwani Kuna mtu anachaguliaga wenzie marafiki?
Hizo ni stori za vijiweni na za maskini
😄😄😄 eda ngapi
Kiungo cha uzazi cha mama ako..Matacore yako
Dah Mungu kafuta hadi kizazi chake!...Haya sasa ni muda wa ndugu kujitokeza kugawana mirathi.
Alimla mke wako?Sijawahi kumuombea mtu mabaya,ila kama ni kweli, Tumsifu Yesu Kristo