econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Punguza unafiki, na wewe unasikitika? Muuaji mkubwa wewe. Bado siku yako. Stupid idiotHizi helikopta sio salama kabisa. Zimeua watu maarufu wengi.
Punguza unafiki, na wewe unasikitika? Muuaji mkubwa wewe. Bado siku yako. Stupid idiotHizi helikopta sio salama kabisa. Zimeua watu maarufu wengi.
Corrupt leaders ndio walikuwa marafiki zake.Kwani hana Watoto au wawakilishi? Acha upumbavu wewe ,Chivayo ni Tajiri na lazima akutane na wenye madaraka,wewe maskini utakutana na WA level zako
View attachment 3681518
Kwani Kuna mtu anachaguliaga wenzie marafiki?Corrupt leaders ndio walikuwa marafiki zake.
Kafara. Ilitakiwa awepo ili afeAngekufa bonge peke yake akaniachia mke wake Lulu Chivayo nipoze machungu.
Anyway RIP Lulu Chivayo
Wewe wasema. Angalia hao viongozi wote matapeli tu.Kwani Kuna mtu anachaguliaga wenzie marafiki?
Hizo ni stori za vijiweni na za maskini
RutoWewe wasema. Angalia hao viongozi wote matapeli tu.
Leteni link ya hiyo tweet siyo mlete vtweet vya kutengeneza .Huyu Chivayo kauawa na mafia gang wenzie, huyo Susan mutami ni ni kiongozi wa mafia gang inaitwa hivyo Susan, inaonekana wametilifiana kwenye maslahi kwenye mgongo wa rais wao mnanangwa.
Hatarii tupu.
Hapo hakuna Kiongozi wote wapigaji, labda Hichilema ana nafuu. Sema naye kaingia kwenye utata wa uchaguzi. Wote wengine hao matapeliRuto
Samia
Tinubu
Mnangagwa
Mswati
Hichilema
Ramaphosa nk
Nk wote ni matapeli,wewe ulitaka awe rafiki wa nani Ili asiwe tapeli?
Pole yake sana.
Utaratibu ni ule ule kukusanyana was familia Moja kwenye usafiri ni hatari kuliko kawaida sawa na kwenda kwenye msiba kwenye usafiri wa pamoja au matukio ya pamoja.
Familia ya Chivayo yote imekwenda na maji 😭😭KaView attachment 3681516
Kafara.Pole yake sana.
Utaratibu ni ule ule kukusanyana was familia Moja kwenye usafiri ni hatari kuliko kawaida sawa na kwenda kwenye msiba kwenye usafiri wa pamoja au matukio ya pamoja.
Familia ya Chivayo yote imekwenda na maji 😭😭View attachment 3681516
Wazimbabwe wengi wamefurahi na wako very happy, wanajuwa ubaya wa Cartel ya Mnangagwa inavyohumu Taifa lao.Umeumizwa na kifo cha huyo fala?
Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
I hope he died in pain.
Sisi Waafrika hakika tuna laana, sijaonaga wazungu kufanya mambo haya, hizi ni laana kazifanya siku moja kabla hajauwawa na hiyo chopa yake.Umeumizwa na kifo cha huyo fala?
Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
I hope he died in pain.
Tenda za serikaliDuuh, kwani huyu jamaa chanzo cha utajiri wake ni nini?
Jamani mambo..!Hili ndilo la muhimu kwa mafisadi, watalia na kusaga meno
😂😂😂