Wanasema wakubwa wa Zimbabwe walimchoka, alikuwa anaagiza watu wanaompinga wauwawe wengine ni watu wakubwa serikalini kwao.naona kifo chake kimezua utata kuwa amewawa,kwa kuchezewa kwa injini ya helcopter bila rubani kujua
Wanasema wakubwa wa Zimbabwe walimchoka, alikuwa anaagiza watu wanaompinga wauwawe wengine ni watu wakubwa serikalini kwao.naona kifo chake kimezua utata kuwa amewawa,kwa kuchezewa kwa injini ya helcopter bila rubani kujua
sawa sawaWanasema wakubwa wa Zimbabwe walimchoka, alikuwa anaagiza watu wanaompinga wauwawe wengine ni watu wakubwa serikalini kwao.
Oyaa vipi huko kiwalani? Ila bwana mdogo jitahidi uwe unaniheshimu. Sasa hivi nataka kuachana na upuzi. Nataka kurudi shule japo umri umeenda nataka nirudie tena four ya huku hadi six yao. Nikimaliza nataka kwenda vocational school. I just want to live a meaningful life.Babu bhana eti 40 mdogo kisa wewe 40 age go 😂 😆
The real seers saw it coming a while ago.
View attachment 3681577
Umeongea ukweli ila Mtu mwingine atasema ni maneno ya kujifariji kwa masikini,Be extra ordinary rich or poor!...kwa akili za kibinadamu tunaona tumeyaweza maisha,but tunakula na kunywa na kutamba kwa bure kabisa,chini ya jua,walikuwapo akina mansa mussa,leo hata kaburi lake halijulikani lilipo.(Wealth is useless),
Nchi za ulaya nyingi zimetambua hili,mwanadamu apate nyumba,gari,apate chakula safi na uhakika wa kuweza kuyamudu mahitaji yake ya nafsi,ndiyo furaha halisi ya mwanadamu,amerika leo hii gari umapata kwa dola 500,huna utakopeshwa mara moja,yote hii ni kutengeneza furaha kwa umma wote.
-Usisogelee wala kutamani kuwa sawa na wale wenye mali zinazopindukia,ni wajinga kabisa kwa tamaa zao!....
Siwezi kukunyima like umemaliza kila kitu assume unakufa kwenye ajali mbaya zaidi hujafanya tobaya msamaha Wa dhambi zakoUkiachana na Wicknell Chivayo, Zimbabwe iliwahi pia kuwa na huyu jamaa kijana mwenye pesa nyingi mno "Genius Ginimbi", jamaa alikuwa ana ma rollys Royce kama uchafu, aliishi maisha ya anasa na kufanya party za kila aina
Cha kusikitisha nae alikufa kwenye ajali yenye utata, kifo cha ghafla. Baada ya kufariki hadi magari yake yalianza kuwaka moto yenyewe
Life is good and too short
Nadharia za mitandaoni zilimhusisha na utajiri wa masharti (majin)
Kiufupi usitamani utajiri wa mtu, hujui chanzo cha utajiri wake huenda kuna mengi yamejificha, utajiri una siri nyingi na ndio maana matajiri ni wachache mno
YBWYB
Chopper haijawahi kuacha mtu salama
Bora ndege
Hili nililisema leo kwenye ndege iliyoruka na kutua
Ni tukio la kustaajabisha!Siwezi kukunyima like umemaliza kila kitu assume unakufa kwenye ajali mbaya zaidi hujafanya tobaya msamaha Wa dhambi zako
Yess upo sahihiNi tukio la kustaajabisha!
Saa chache tu kabla ya kupoteza maisha yake katika ajali mbaya ya helikopta huko Marondera, bilionea wa Zimbabwe Wicknell Chivayo alitoa vibunda vya kihistoria kwa mawakili wake wa muda mrefu. 🚁💸
Bilionea huyo aliwazawadia mamilioni ya pesa taslimu zinazokadiriwa kufikia bilioni 1.94, sambamba na magari mawili ya kifahari ya mwaka 2026—ikiwemo Lexus GX 550 ya takriban milioni 571 na Range Rover Sport Autobiography ya milioni 300.
Muda mfupi baada ya kutoa zawadi hizi, Chivayo aliripotiwa kufariki dunia kwenye ajali hiyo iliyoangamiza maisha ya abiria wote waliokuwemo ndani ya chombo hicho.
Hii unakuwa ni moja ya matukio ya kushangaza zaidi ya mtu mashuhuri kutoa vibunda virefu muda mfupi kabla ya janga kubwa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Sijaokoka sasa niliokoka 1982 kwenye mkutano wa Moses Kulola Oysterbay Primary School.Kuna Watu watasema umeokoka sasa😂😂
Good ungeelezea baadhi ya hayo tusiyajua hizo hela alikua anakupa wewe au alikua anampa Mama yako?
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
Kuna Billionaire mmoja Ufaransa alikuwa anauza shamba lake kubwa sana na Bonge la nyumba ya kifahariChopa ikipata hitilafu kidogo tu ndo gudubai
Wewe hutakufa?Punguza unafiki, na wewe unasikitika? Muuaji mkubwa wewe. Bado siku yako. Stupid idiot
Wapo hai na wana chance kubwa ya kutubu au wameshatubu ikiwa wamekosea.halafu ukamkuta Bush, Blair na Obama, motoni!
Siwezi kufa kabla sijakumwagia ndani.Na wewe zikuue tupunguze wajinga nchini..!!
Umeanza kudindisha kwani?Siwezi kufa kabla sijakumwagia ndani.
Hifadhi hili swali lako hadi hiyo siku ambayo haiko mbali.Umeanza kudindisha kwani?
Si juzi tu hapo ulikua unalalamika jogoo hapandi mtungi..!!