TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

I’m living my best life.

Maybe you should mind the business that pays you 🖕.
Huwezi ukawa na best life kisha kila siku humu JF unajenga chuki kwa waliokuzidi,wewe unaonekana una maisha magumu sana,stress zinakupelekesha,hilo dole kamchomekee Mumeo wakati akiwa anakutafuna
 
Hili lilikuwa linakaa ikulu kama lipo sebuleni na mke wake huku linachezea simu,Rais amekaa Kwa heshima huku akiliongelesha
View attachment 3681777
Africa ukiwa na pesa hata rais unamtongoza unamkosea heshima, unakula mzigo.

Bahati yetu tu hatuna marais wengi wa kike.

Gaddafi alikuwa anawamendea na kuwala wake wa marais kuonesha jeuri ya pesa tu.

Ila katika jitihada zake za kuonesha ufahali na ufahari, alimmendea Condoleeza Rice, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, akapigwa kibuti 😂😂
 
Huwezi ukawa na best life kisha kila siku humu JF unajenga chuki kwa waliokuzidi,wewe unaonekana una maisha magumu sana,stress zinakupelekesha,hilo dole kamchomekee Mumeo wakati akiwa anakutafuna
Inaonekana nakusumbua sana moyoni mwako!

Si ajabu muda mwingi huwa unaniwaza kichwani mwako.

Sitoshangaa endapo huwa unaniota usiku.

Ila, hayo yote hayaondoi ukweli kuwa fat boy kafa na kafa kifo kibaya sana na hiyo kwangu ni furaha kubwa kupita maelezo.

Na huna lolote unaloweza kunifanya.

Haya, ongeza povu while I continue to live my best life 🤣.
 
Nyie vichaa lazima muwe chini ya uangalizi maalum ili msije mkaambukiza huo ukichaa wenu kwa wengine,

Comments zako za chuki pale waliofanikiwa wanapo pata matatizo,zinaashiria kua una maisha magumu sana,faraja yako pekee iliyo baki ni kufurahia tu matatizo ya wengine,jambo ambalo haliwezi kubadilisha maisha yako,

Kobe Bryant alikufa kifo kama hicho,nae alikosea nini? Yule mmiliki wa Leicester City alikufa kwa ajali ya Helicopter nje ya uwanja wa Leicester,nae alikosea nini? Ajali ni ajali tu,acha kujifariji wewe masikini choka mbaya,
Na huna lolote unaloweza kunifanya.
La kukufanya nikukumonitor ili huo ukichaa wako usije ukaambuliza wengine,
Haya, ongeza povu while I continue to live my best life 🤣.
Ulifanya vizuri sana kujiita NYANI.
Huna best life yeyote,mwenye best life hawezi kufurahia matatizo ya wengine,hizo ni tabia za watu waliopigwa na maisha nje ndani.
 
Huwa sipendi mtu awe anampangia mtu mwingine namna kujisikia kwenye situation kama hii.
Hakuna mtu anampagia binaadamu yeyote feelings, hata ma psychopaths ni binadamu, na wanapenda damu. Hata ma sadist ni binadamu, wana enjoy sadism, hivyo be free kuenjoy death ya ajali ya binadamu mwenzio, mkewe na watoto.
P
 
Nyie vichaa lazima muwe chini ya uangalizi maalum ili msije mkaambukiza huo ukichaa wenu kwa wengine,

Comments zako za chuki pale waliofanikiwa wanapo pata matatizo,zinaashiria kua una maisha magumu sana,faraja yako pekee iliyo baki ni kufurahia tu matatizo ya wengine,jambo ambalo haliwezi kubadilisha maisha yako,

Kobe Bryant alikufa kifo kama hicho,nae alikosea nini? Yule mmiliki wa Leicester City alikufa kwa ajali ya Helicopter nje ya uwanja wa Leicester,nae alikosea nini? Ajali ni ajali tu,acha kujifariji wewe masikini choka mbaya,

La kukufanya nikukumonitor ili huo ukichaa wako usije ukaambuliza wengine,

Ulifanya vizuri sana kujiita NYANI.
Huna best life yeyote,mwenye best life hawezi kufurahia matatizo ya wengine,hizo ni tabia za watu waliopigwa na maisha nje ndani.
Mbona povu hafifu?

Ongeza OMO 🤣.

Fat boy is dead.

Umeuona mwili wake ulivyoharibika? Safi sana.
 
Umeongea ukweli ila Mtu mwingine atasema ni maneno ya kujifariji kwa masikini,
Ukubwa wa akili/ kiufahamu tu,na kutosoma historia ya dunia ilivyo,huko miaka ya 1500,1620,1750, kulikuwa na watu/ binadamu kama sisi hapa tulivyo!..kulikuwepo na matajiri wakubwa sana./ Yapo mambo ukiyasoma na kuyatafakari lazima ukae kimya!🛑
 
Back
Top Bottom