Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Jibu swali unadinda?Hifadhi hili swali lako hadi hiyo siku ambayo haiko mbali.
😹😹😹 Jibu swali unadinda?Hifadhi hili swali lako hadi hiyo siku ambayo haiko mbali.
Mzee alispot mchongo mapema sana kitambo!Sijaokoka sasa niliokoka 1982 kwenye mkutano wa Moses Kulola Oysterbay Primary School.
Kuna mzee mmoja kanichekesha sana,ati huo mwili umeongeza impact chombo kuporomoka kwa nguvu zaidi 😂Hilo umbo lake,utokee angani na Helicopter hadi afike aridhi,hapo tutarajie,Mjane,atoke Eda,kwenda kuzika Zimbabwe
Kuna kila dalili mama kwenda Eda mbili
Kama unalijua hili acha kutetea wauaji kwenye nchi hii.Be extra ordinary rich or poor!...kwa akili za kibinadamu tunaona tumeyaweza maisha,but tunakula na kunywa na kutamba kwa bure kabisa,chini ya jua,walikuwapo akina mansa mussa,leo hata kaburi lake halijulikani lilipo.(Wealth is useless),
Nchi za ulaya nyingi zimetambua hili,mwanadamu apate nyumba,gari,apate chakula safi na uhakika wa kuweza kuyamudu mahitaji yake ya nafsi,ndiyo furaha halisi ya mwanadamu,amerika leo hii gari umapata kwa dola 500,huna utakopeshwa mara moja,yote hii ni kutengeneza furaha kwa umma wote.
-Usisogelee wala kutamani kuwa sawa na wale wenye mali zinazopindukia,ni wajinga kabisa kwa tamaa zao!....
Mbwa wewe.Vifo vya plane crash ni instant, kama vifo vya risasi kwenye vital organs,
Binadamu yeyote, anayefurahia kifo cha binadamu mwingine, anayefurahia mateso ya binadamu yeyote, huyo mtu ni sadist!.
Amini usiamini, niliumizwa na kifo cha Osama, Sadaam na Gadafi, na nikasema humu, siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwakuta Osama, Sadaam na Gadafi peponi, halafu ukamkuta Bush, Blair na Obama, motoni!.
Kipimo cha kwanza kuwapima ma sadist, ni wale wanaosambaza the dilapidated photos of the dead children's of the October 29 masaccre wale wauaji wote watashughulikiwa na karma, one by one, kwa wengine karma imeisha anza kwa kuwashughulikia watu wao wa karibu, na mwisho itamalizia nao!.
Please usiweke tena zile picha za wale watoto humu, zinaumiza sana!.
Please!.
Fat boy is dead! Time to celebrate.🎉Acha kupangia watu maisha,unataka kila mtu afuate unachokitaka wewe?
One day,you are going to die,too.
Everyone will die one day,it doesn't matter whether you are good or bad,
Tafuta hela kwa njia yeyote ile ili upunguze kua na chuki za kimasikini,
Stress za umasikini zitakuua.
Bora limekufa.Hili lilikuwa linakaa ikulu kama lipo sebuleni na mke wake huku linachezea simu
View attachment 3681777
Get a life to escape the trap of schadenfreude.Fat boy is dead! Time to celebrate.🎉
Watoto wake hawakuwemo kwenye helicopterInaumiza uzao wote umekwisha... Poleeni wana Jf
Ukiwa na hela hakuna kinachokusumbuaUkiwa hauna hela unatafuta six park, ukiwa na hela unatafuta tumbo na minyama kama Chivayo
Alikuwa Gold Mafia???Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu.
Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu zenye thamani ya dola milioni 1.2 kwa kutumia kofia yake ya Udiplomasia.
Wenyewe wanakwambia kwa Afrika ilimradi unatotoa chochote kitu basi mambo yako yanaenda bila shida yoyote. Gold Mafia imesambaa, hakuna mamlaka au serikali yoyote Afrika inayojaribu kusogeza pua yake.
Wahalifu hutoa donge nono...
- Rare Sapphire
- al jazeera fedha gold huduma mafia uchunguzi utakatishaji fedha
- Replies: 197
- Forum: Jamii Intelligence
Ndio nimekumbuka Ile Kauli y Shekh Mohamed Mahmood anasema Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibukumbe jamaa alikua na mtoto mwingine wa kiume, kwa mke wa kwanza ,nimeona seheme tweets za zimbambwe huko
Watoto wapo. Hawakuwemo kwenye helicopterMke na watoto wake!!!!hii inatuma ujumbe gani kwa waliohusika na octopus 29 2025
Mtoa mada kamaanisha wengine hawajaachiwa pengo ni mwanya tu 😂ukanda wote wa sadc
I’m living my best life.Get a life to escape the trap of schadenfreude.
Kifo ni kifo wacha maisha yaendelee!MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.
A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327jitu la miraba 100.
Mambo ya Pascal hayoUmeumizwa na kifo cha huyo fala?
Well, fcuuk him. I’m glad he’s dead.
Anybody who pals around with cold blooded murderers, deserves death in the most painful manner.
I hope he died in pain.
Huwa sipendi mtu awe anampangia mtu mwingine namna kujisikia kwenye situation kama hii.Vifo vya plane crash ni instant, kama vifo vya risasi kwenye vital organs,
Binadamu yeyote, anayefurahia kifo cha binadamu mwingine, anayefurahia mateso ya binadamu yeyote, huyo mtu ni sadist!.
Amini usiamini, niliumizwa na kifo cha Osama, Sadaam na Gadafi, na nikasema humu, siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwakuta Osama, Sadaam na Gadafi peponi, halafu ukamkuta Bush, Blair na Obama, motoni!.
Kipimo cha kwanza kuwapima ma sadist, ni wale wanaosambaza the dilapidated photos of the dead children's of the October 29 masaccre wale wauaji wote watashughulikiwa na karma, one by one, kwa wengine karma imeisha anza kwa kuwashughulikia watu wao wa karibu, na mwisho itamalizia nao!.
Please usiweke tena zile picha za wale watoto humu, zinaumiza sana!.
Please!.
Ni kweli hii ipo sana Africa tena Tanzania ni namba moja kwa watu kuwa na wivu na husuda sijui mpumbavu gani alitudanganya kwanza WaTanzania ni watu wenye upendo mpuuzi sana alitudanganya sanaMost people are prone to schadenfreude which is the normal feeling of secret joy when bad things happen to other people.