TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Be extra ordinary rich or poor!...kwa akili za kibinadamu tunaona tumeyaweza maisha,but tunakula na kunywa na kutamba kwa bure kabisa,chini ya jua,walikuwapo akina mansa mussa,leo hata kaburi lake halijulikani lilipo.(Wealth is useless),
Nchi za ulaya nyingi zimetambua hili,mwanadamu apate nyumba,gari,apate chakula safi na uhakika wa kuweza kuyamudu mahitaji yake ya nafsi,ndiyo furaha halisi ya mwanadamu,amerika leo hii gari umapata kwa dola 500,huna utakopeshwa mara moja,yote hii ni kutengeneza furaha kwa umma wote.
-Usisogelee wala kutamani kuwa sawa na wale wenye mali zinazopindukia,ni wajinga kabisa kwa tamaa zao!....
Kila mtu akiwa na mawazo kama yako maisha yatakuwa magumu sana hapa duniani
 
Oyaa vipi huko kiwalani? Ila bwana mdogo jitahidi uwe unaniheshimu. Sasa hivi nataka kuachana na upuzi. Nataka kurudi shule japo umri umeenda nataka nirudie tena four ya huku hadi six yao. Nikimaliza nataka kwenda vocational school. I just want to live a meaningful life.
😂 😂 😂

Labda ya huko ya bongo na age na mabange usingeweza .

Ninafuraha nimekuzidi Elimu , degree Iko kichwani Mimi , bado kupambania nihame Yombo Kiwalani sasa
 
Africa ukiwa na pesa hata rais unamtongoza unamkosea heshima, unakula mzigo.

Bahati yetu tu hatuna marais wengi wa kike.

Gaddafi alikuwa anawamendea na kuwala wake wa marais kuonesha jeuri ya pesa tu.

Ila katika jitihada zake za kuonesha ufahali na ufahari, alimmendea Condoleeza Rice, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, akapigwa kibuti 😂😂
Kuna wake za marais aliofanikiwa kupiga?
 
Duh... Mzee wa Biashara Chafu siyo???

Ndiyo maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anatoa Sana zawadi za Magari ya kifahari pamoja na Pesa za Dolari na Mamlaka za Kodi zinamuangalia tu...
Na ukifatilia vizuri makala ya Gold Mafia utakuja kuelewa kuwa serikali ndiyo inayobariki money laundering kutokana na wao kuwekewa vikwazo kimtaifa.

Hawa kina chivayo ndiyo wanaotumika na serikali.

Thread hii hapa ukipata muda wako ipitie mpaka kina Emerson Mnangagwa wanahusika .
 
Alipiga.

Tafuta kitabu kinaitwa "Gaddafi's Harem: The Story of a Young Woman and the Abuses of Power in Libya"
by Annick Cojean.
Wanawake 🤗 mke wa rais ana njaa gani ya kumfanya ababaike na hela za mwanaume mwingine?

Kama una soft copy yake nifanyie wepesi mkuu.
 
Back
Top Bottom