TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Kweli umaskini ni laana, maskini ana roho mbaya sana! Watu wanafurahia kifo cha kijana wa watu Mzimbabwe amewakosea nini? Hizo chuki ni aibu, ni roho ya kishetani. Km we ni maskini ndiyo umchukie tajiri?
Utajiri gani ule wa kuwaibia masikini?
Mtu kakaa hadi jela kwa uwizi wake.
 
Ukiweza, be humble. Ikishindikana, it's okay.
1484.jpg
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.


Soma Pia:
tycoon is gone
 
siajawahi kabisa ziamini hizi helikopta, zishapeleke mche matajiri wengi sana na bado hawasomi
 
Meet Susan Mutami, The Woman Who Predicted Chivayo's Death 16 Months Ago.

Susan Mutami is a Zimbabwean activist and businesswoman living in Australia.

She became famous in Zimbabwe after 2021 for exposing a relationship with the late Gen. Sibusiso Moyo and for making against top politicians.

On May 8, 2025 and again May 28, 2025, she posted on X, [formerly twitter]:

"Wicknell will die in a plane crash very soon. Save this post."
"He's actually going to die in a plane crash. Save this post."

No one took it seriously then.

On September 30, 2026, Wicknell Chivayo (43) and his wife Lucy Muteke died in a helicopter crash in Marondera Rural, southeast of Harare.

All 6 people on board died.

Silent pastor
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.


Soma Pia:
Pastor
 
Yaan nn chivayo death

Huyu mwamba ndie habari ya mjini mitandaoni aisee napita 16mnts alimwandikia mwamba utakufa mda wowotee na ajali ya ndege

1790975383516.jpg
 
Back
Top Bottom