TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Kuishi maisha ya Siri siyo Tatizo,tatizo ni wahuni kujuwa Atima ya maisha yako bila wewe kujuwa kuwa code wanazo,

Susan mutami kupitia X zamani twitter tar 28 may 2025 aliandika kuwa bilioner Wicknell Chivayo wa 🇿🇼 kifo chake kitakuwa cha Ajari ya ndege,na kimetokea kweli,Endeleeni kuishi kwa secret society ila wahuni wanakuzoom tu,
 
Wiki hii habari inayotrend Afrika ni Comment ya mtandao wa X(twitter) ya mwanadada Susan Mutami alitabiri kifo cha Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell-Chivayo kufariki kwa ajali ya Helicopter hakutaja siku wala tarehe ila aliandika kwa kujiamini ili kutuakikishia utabiri wake utatimia na akaomba post yake itunzwe kama ushahidi. Susan alipost Comment hiyo May 28, 2025

September 30, 2026 Vyombo vya habari nchini Zimbabwe viliripoti kifo cha Chivayo pamoja na mkewe kilichosababishwa na ajali ya helicopter iliyodondoka na kusambaratika baada ya kupata hitilafu ikiwa angani, Utabiri wa Susan kuhusu kifo cha Chivayo kwa ajali ya helicopter ulitimia ikiwa imepita miezi 14

Watu walikuwa na madai tofauti kuhusiana na utabiri wa Susan wapo waliosema ni mchawi wengine Time traveller yaani kila mtu aliongea lake lakini kwa mimi ntakuwa tofauti na mawazo ya watu wengi katika hii ishu

Susan sio mchawi au Time Traveller bali kakutana na hali inayoitwa "Deja Vu"

Deja Vu ni hali ambayo unakutana na matukio uliyowahi kuyaota ndotoni na huwa yanatokea kama marudio na unajua muda flani kitatokea kitu flani na kweli huwa kinatokea kama ulivyotabiri, Hata neno Deja-Vu asili yake ni kifaransa likiwa na maana ya "kimeshaonekana"

Watu wengi ni mashahidi wa kukutana na hali ya "Deja-Vu" kama nilivyoielezea na mimi ni miongoni mwao nimekuwa nikikutana na Deja-Vu mara kwa mara nikaingia katika maswali ili kupata jawabu la hali hii lakini nilikosa majibu ya kueleweka

Nimesoma hali ya Deja-vu katika sayansi na imani, kila utafiti majibu yake yametofautiana kuelezea hali hiyo

Sayansi inaelezea Deja Vu inatokea katika sehemu ya ubongo iitwayo Hippocampus ambayo hushughulika kuhifadhi kumbukumbu badala ya ubongo kuhifadhi tukio la sasa katika kumbukumbu za muda mfupi huchanganya mafaili na kulihifadhi katika kumbukumbu ya muda mrefu na kusababisha tukio kuonekana kama ni la wakati uliopita

Ila katika Imani Deja-Vu imeelezewa kwa namna tofauti kulingana na kila imani

Katika Imani ya kihindu na buddha wanaamini Deja-Vu ni kuzaliwa upya kwa roho hali hiyo huitwa Reincarnation inaaminika roho iliyozaliwa mara ya pili inakutana na hali ya Deja-Vu kwa sababu iliwahi kuishi katika mazingira hayo

Imani nyingine za dini hutafsiri Deja-vu ni ndoto yenye maono huonesha mambo yatakayotokea wakati ujao Wakiamini yakiwa yamepangwa na Mungu

#babusisu
 
5E8B593E-A8BE-475A-8360-DA08A5A55969.jpeg
 
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.

Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.

Soma Pia:
Apumzike kwa amani
 
kuna tofauti kubwa kati ya Ndege ya kawaida (Plain/Airplane) na Helikopta (Helicopter). Tofauti hizo zinatokana na mfumo wake wa kuruka, muundo na jinsi zinavyotumika

utabiri ni ajali ya ndege sio helicopter hivyo mnashangaa nini?
 
Back
Top Bottom