Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Haha, mabaya alilokuwa anafanya kwa binadamu ilitakiwa asulubiwe akiwa hai sio afe ndo tuanze dua za kuku.amani? serious! 😅
Haha, mabaya alilokuwa anafanya kwa binadamu ilitakiwa asulubiwe akiwa hai sio afe ndo tuanze dua za kuku.amani? serious! 😅
Tunavyomsindikiza baba zuri Songwe tuunganishe msibani, kuna gari za kwenda Zimbabwe pale Tunduma..!! 😹😹😹
On target ni kwa Bi msumi au kikwete!.hii ni on target kabisa ndugu.
Anaanza na sebuleni kwani, afu ataingia chumbani.Huyu mtoa roho nae anazunguka sana, si anyooshe maelezo!?
Shogaa maubuyu yapo ya kutosha na connection nazo zipo ushindwe weyeee tu..!! 😹😹lamo upo? nimemiss maubuyu 😂
Hilo tangazo la kutomwombea mtu mabaya halikuhusisha kwa mtu mbaya na mshenzi!Sijawahi kumuombea mtu mabaya,ila kama ni kweli, Tumsifu Yesu Kristo
Duh alitabiriwa na nani?Sio inasemekana ni kweli mkuu
NA alitabiriwa kuwa atavuta tu ndani ya ndege tena huyo kibigi
Kusema ukweli hisia zangu huyu marehemu biggie namhisi alihusika kuingiza silaha zilizo tumika kwenye ukatili wa MO29.Huwezi kuchangamana na Shetani halafu ukawa salama, Mungu siyo fala
Hili ni fundisbo kwa Mamluki wengine
Wasoma nyotaDuh alitabiriwa na nani?