Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Gen Z, niaminini mimi! Mkitoka kweli siku hiyo, mabadiliko yatatokea kwenye hii nchi. Na mkiwaogopa policcm, mtaidumbukiza hii nchi kwenye shimo.Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
Kisasi sio cha nchi hiiHaya maandamano yakifeli huyu Mama atatupelekea moto hii miaka mitano hadi maji tuite mma.
Haya ambayo hayana mpango ndio safi,hatutaki maandamano yawe na kiongozi.Kukosa mkakati hiyo ndio silaha kubwa ya kufanikisha maandamano.
Unataka upewe mikakati wewe kama nani?Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
Sasa wew **** ni wakuti kaa tulia acha kuangaika na mambo ya kutoka .wenye shughuli tunajua tutafanya nin? Wew kimbelembele cha nin? Wew fikiria hiyo october 29 utawekaje tikiTunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
Acha uoga Evelyn, kumbe ni muoga hivyo ee?!!Kisasi sio cha nchi hii
Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote fujo au vurugu, October 29 kazi ni moja tuu, kupiga kura.Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
Wewe ni kama condom iliyotumika tu huna maana loloteHakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote fujo au vurugu, October 29 kazi ni moja tuu, kupiga kura.
P
Wao wanahamasisha watu watoke wakaanamane lakini wao hawako tayari kuandamana.Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
Huo ni mtizamo wako,ila system imejawa na hofu kuliko waandamanaji,tayar huko mgari ya kivita yapo road kitaani yakifanya maandamano.Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote fujo au vurugu, October 29 kazi ni moja tuu, kupiga kura.
P