GE2025 Zimebaki siku 08, ila “tunatoka” hawana mkakati wowote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Leo kutokea pande hizi za Tarime Serikali inaenda kupokea suprise package ambayo hawata sahau.

Nadhani kuanzia leo Police ccm. Wananza kuisoma namba.
 
Wao wanahamasisha watu watoke wakaanamane lakini wao hawako tayari kuandamana.

MangeKimambi mwenyewe yuko California lakini alishindwa kuandamana Washington DC last week.

Marekani kuna Watanzania diaspora zaidi ya 100,000 lakini ni mabwege 7 tu ndiyo walibeba mabango na kwenda IMF na ubalozi wa Tz
Wewe jamaa ni zero brain. Wahamasishaji wa maandamano ni Lulu ya taifa. Uhai wao ni muhimu sana. Lazima wajifiche ili wasidhurike ili waendelee kutuhamasisha. Wewe unadhani Mange akiuliwa hamasa itatoka wapi? Wengine tupo tayari kufa lakini Mange kimambi hatupo tayari kumuona akifa. Yeye ndio stering wa movie. Mange akifa morari inashuka, so sisi wazalendo hatutaki Mange aandamane, tunamuhitaji aendelee kuwa hai mpaka ukombozi upatikane
 
Wewe ndiye mpumbavu kabisa. Marekani hakuna TANPOL na kuna demokrasia ya hali ya juu na uhuru wa maoni. Kama Mange hawezi kutokeza hata Marekani bado unamuamini?

Eti Mange lulu ya taifa? Labda malaya wa Taifa
Screenshot_20251014_110615_Facebook.jpg
 
Leo kutokea pande hizi za Tarime Serikali inaenda kupokea suprise package ambayo hawata sahau.

Nadhani kuanzia leo Police ccm. Wananza kuisoma namba.
Tarime kuna akina uncle T tu, ingekuwa kweli Tarime ina wanaume basi mngekuwa mmekinukisha baada ya Heche kutekwa
 
Kwani ulitaka wafanyaje analyst mwanamikakatichawa kwa viwango vyako? Acha kujipa umuhimu wa litmus paper kwa visivyokuhusu! Kama hujaona ujue caliber yako na yao hailingani subiri upewe desa ukalimeze utaelewaga tu muda ukifika
 
Wewe ndiye mpumbavu kabisa. Marekani hakuna TANPOL na kuna demokrasia ya hali ya juu na uhuru wa maoni. Kama Mange hawezi kutokeza hata Marekani bado unamuamini?

Eti Mange lulu ya taifa? Labda malaya wa Taifa
View attachment 3492711
Nadhani una mtindio wa ubongo. Tuishie hapo huna uwezo wa kuchanganua mambo. In simple terms Mange hatutaki aandame, huyu ni mzalendo ambaye tunamuhitaji awe hai hadi ukombozi upatikane
 
Wewe ndiye mpumbavu kabisa. Marekani hakuna TANPOL na kuna demokrasia ya hali ya juu na uhuru wa maoni. Kama Mange hawezi kutokeza hata Marekani bado unamuamini?

Eti Mange lulu ya taifa? Labda malaya wa Taifa
View attachment 3492711

Kuna mwamba anajipigia hapa kama mpumbavu, ila K bwana hata ikiwa kwa kichaa itapata mkunaji tu, muhimu awe anapumua
 
I can't wait to see watu wanavyokimbizana barabarani kutafuta njia za kuelekea vyumbani mwao kwenda kujificha chini ya magodoro.
 
Back
Top Bottom