Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Basi bunge la katiba mpya unafaa kuwepo ,nakuombea kheri.Kama litakuja.
Sidhani kama ccm wataruhusu mabadiliko makubwa ya katiba yenye uwanja huru kwa walio nje ya utawala.

Na wakiruhusu vipengele vingi vitakuwa vya kufaidisha waliopo madarakani maana upinzani una nguvu sana kwenye mazingira huru ya siasa.

Hapa ni kusali tu Ccm yenye utu iwe madarakani maana ccm itaendelea kuwepo madarakani.
 
Siyo tu dini, huyu ni mrengo tofauti na CCM ya serikali hii. Huyu ni CCM isiyopenda mabadiliko. Ccm ya familia za the so callled waasisi.
 
Nchimbi alishajiroga alipo mpinga Mwenyekiti na Rais JK haaminiki tena kwenye system. Pia kumbuka ni kati yawaliojimirikisha mali za CCM. Hivyo hawezi pita afanyekazi zingine tu.
 
Kama mzee Mangula ni lazima apige vema basi sioni kikwazo kwa Nchimbi maana hao ndio walikuwa CCM kindakindaki, wanakijua chama na wakati wa uongozi wao hapakuwa na hizi habari za ukanda na MATAGA PRAISE TEAM.
Nchimbi mwizi wa mali za CCM awe Makamo wa Rais??
 
Makamu wa Rais hatakiwi kuwa mbunge; Dr. Bilal, Samia hawakuwa wabunge.

Vv
 
Tatizo ni kwamba VP hana nguvu yoyote ya kimaamuzi. Actually Waziri Mkuu ana nguvu kuiko VP. Ndiyo maana hii nafasi imekaa ki ceremonial ceremonial. Kazi yake kuttembea na mikasi tu! Hana kazi nyingine! Sasa sijui kwa nini mnamwazia sana? Au mnamdharau Mh Mama Samia? Mnachukulia poaee? Oohoo. Shauri yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…