Sidhani kama ccm wataruhusu mabadiliko makubwa ya katiba yenye uwanja huru kwa walio nje ya utawala.Basi bunge la katiba mpya unafaa kuwepo ,nakuombea kheri.Kama litakuja.
Na wakiruhusu vipengele vingi vitakuwa vya kufaidisha waliopo madarakani maana upinzani una nguvu sana kwenye mazingira huru ya siasa.
Hapa ni kusali tu Ccm yenye utu iwe madarakani maana ccm itaendelea kuwepo madarakani.