Wewe umerogwa siyo burefield Marshall, Hon. Gwajima (she)...sitak mje mniite nabii
Za kiduku Robert Amsterdam!Akili kiduchu
PM hakuwa muislamu.. Lowassa na Pinda.. tatizo kwa sasa tayari rais na PM ni waislamu so VP lazima awe mkristo.Hili suala la dini ni serious? Maana JK alikuwa na PM muislam.
Huyo Mwigulu yuko aggressive sana.. VP anakuwa low profile.Nikweli Chief, surprise kwa CCM ni mambo ya kawaida kabisa, unaweza kushangaa Mwigulu anapewa shavu wote tukabaki mdomo wazi.
Hii itakuwa habari mpya kwangu.Ni mluteli!
Wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Watu wa CCM kuasi ni jambo la kawaida baada ya makundi yao kushindwa, ninachofahamu for sure pamoja huo uasi unaosema lakini busara ilitumika kumpa ubalozi badala ya kumfukuza kutokana na umuhimu wake ndani ya Chama.Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Mimi pia napenda awe mtu ambaye ni mpya lakini anayeijua kazi ili mama ang'are.Mpaka kufikia jana kuna mahali niliweza kusikia tetesi halisi za majina pendekezwa, mpaka sasa ni majina mawili tu kwa uhakika yaliyokuwa yanafanyiwa vetting, na niliposikia hayo majina nilistaajabu, maana hakuna hata mmoja miongoni mwao anatokea kwenye kundi la watu wanaotajwa sasa au kuwahi kusikika kwenye majukwaa ya kisiasa hapa Tanzania...
Dr HoseaMimi pia napenda awe mtu ambaye ni mpya lakini anayeijua kazi ili mama ang'are.
Hopeful uko sahihi mkuuBado siku 5. Huwa tunaanza kuhesabu kedho yake.
Siku aliyofia yaani trh 17 haihesabiwi
Sefue maybe ila Lukuvi hataweza kuwa low profile.O. sefue au W. Lukuvi anasubiri kula shavu hapo
Ila Nchimbi alikuwa na point baada ya taratibu za kupitisha majina kutofuatwa. Anaweza kuwa amejijengea heshima fulani kwa wazee kwamba anaweza kupigania chama.Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
🤣🤣🤣Dr Hosea
Nchimbi aliyesimama hadharani kupinga maamuzi ya Kamati kuu akilazimisha Lowassa? Basi na yule mama wa Umoja wa Wanawake atarudi madaraka.Kama mzee Mangula ni lazima apige vema basi sioni kikwazo kwa Nchimbi maana hao ndio walikuwa CCM kindakindaki, wanakijua chama na wakati wa uongozi wao hapakuwa na hizi habari za ukanda na MATAGA PRAISE TEAM.
🤣🤣🤣Dr Hosea
Kikwete leo kasema yeye ndio alipeleka majina matano kwa kamati ya ulinzi na usalama na kisha kuyapeleka cc ingawa walioomba walikuwa 38. Maana yake ni kuwa utaratibu wa cc haukufuatwa na hivyo Nchimbi alikuwa sahihi kupinga.Katiba inataka VP
Nchini aliyesimama hadharani kupinga maamuzi ya Kamati kuu akilazimisha Lowasa? Basi na yule mama wa Umoja wa Wanawake atarudi madaraka.
Ataweza low profile?William V. Lukuvi atatufaa sana kwani utendaji wake kazi hauna shaka wa doa....