Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Bado siku 5. Huwa tunaanza kuhesabu kedho yake.

Siku aliyofia yaani trh 17 haihesabiwi

Wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
 
Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Watu wa CCM kuasi ni jambo la kawaida baada ya makundi yao kushindwa, ninachofahamu for sure pamoja huo uasi unaosema lakini busara ilitumika kumpa ubalozi badala ya kumfukuza kutokana na umuhimu wake ndani ya Chama.
 
Mpaka kufikia jana kuna mahali niliweza kusikia tetesi halisi za majina pendekezwa, mpaka sasa ni majina mawili tu kwa uhakika yaliyokuwa yanafanyiwa vetting, na niliposikia hayo majina nilistaajabu, maana hakuna hata mmoja miongoni mwao anatokea kwenye kundi la watu wanaotajwa sasa au kuwahi kusikika kwenye majukwaa ya kisiasa hapa Tanzania...
Mimi pia napenda awe mtu ambaye ni mpya lakini anayeijua kazi ili mama ang'are.
 
Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Ila Nchimbi alikuwa na point baada ya taratibu za kupitisha majina kutofuatwa. Anaweza kuwa amejijengea heshima fulani kwa wazee kwamba anaweza kupigania chama.
 
Kama mzee Mangula ni lazima apige vema basi sioni kikwazo kwa Nchimbi maana hao ndio walikuwa CCM kindakindaki, wanakijua chama na wakati wa uongozi wao hapakuwa na hizi habari za ukanda na MATAGA PRAISE TEAM.
Nchimbi aliyesimama hadharani kupinga maamuzi ya Kamati kuu akilazimisha Lowassa? Basi na yule mama wa Umoja wa Wanawake atarudi madaraka.
 
William V. Lukuvi atatufaa sana kwani utendaji wake kazi hauna shaka wa doa.

Ni mtu makini sana kiutendaji, maamuz magum pia uzoefu wake miaka mingi serikalin ni nguzo muhim kuvitazama.

#GoJPMDaimaUtaishiMioyonMwetuWazalendoWaKweliKwenyeNchiiHii#GoJPMDaimaUtaishiMioyonMwetuWazalendoWaKweliKwenyeNchiHii.
 
Katiba inataka VP

Nchini aliyesimama hadharani kupinga maamuzi ya Kamati kuu akilazimisha Lowasa? Basi na yule mama wa Umoja wa Wanawake atarudi madaraka.
Kikwete leo kasema yeye ndio alipeleka majina matano kwa kamati ya ulinzi na usalama na kisha kuyapeleka cc ingawa walioomba walikuwa 38. Maana yake ni kuwa utaratibu wa cc haukufuatwa na hivyo Nchimbi alikuwa sahihi kupinga.
 
Back
Top Bottom