Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inamtaka Rais aliye apishwa kuteua makamu wake ndani ya siku 14 tangu alipo apishwaWakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Combination ya hovyo kupata kutokea.🤣🤣 Nimecheka sana!!, Wizara ya afya inakoelekea kama hazitachukuliwa jitihada za haraka kuinusuru tunaenda kuipoteza. Gwajima+Mollel,, sijui jiwe alifikiriaga nini au ndio kutokushauriwa
Baba mmoja hao. Siunaona jina la ukoo wanafanana?Wewe Uponyaji na Uzima una undugu wowote na ufufuo na uzima?
Unamkana ndugu yako?Hapana mkuu, sina undugu naye.
Ni kweli kabisa,hawapo kabisa kwenye ubashiri wa watu(kutajwa tajwa)Mpaka kufikia jana kuna mahali niliweza kusikia tetesi halisi za majina pendekezwa, mpaka sasa ni majina mawili tu kwa uhakika yaliyokuwa yanafanyiwa vetting, na niliposikia hayo majina nilistaajabu, maana hakuna hata mmoja miongoni mwao anatokea kwenye kundi la watu wanaotajwa sasa au kuwahi kusikika kwenye majukwaa ya kisiasa hapa Tanzania.
Nimesita kuandika hayo majina hapa kwa sababu ya kulinda bahati zao. Nahisi kusemwa semwa mitandaoni kunaweza kuwaharibia, na mmoja kati yao ni mtu niliyewahi kufahamiana naye kwa karibu siku za nyuma.
Weka hapa hicho kifungu mkuu.Katiba inamtaka Rais aliye apishwa kuteua makamu wake ndani ya siku 14 tangu alipo apishwa
Mkuu sio kweli..😅😅Baba mmoja hao. Siunaona jina la ukoo wanafanana?
Tatizo huyo ni more powerful that madam.Naona lukuvi akiwa ana ulinzi wa kificho sijajua atakua na post ipi.
Simfahamu mkuu..🤣Unamkana ndugu yako?
Yeah kweli. Yaani anaonesha hatoki hata kwa greda..😅Hata mimi niliwaza hivyo.
Facial expression yake ilibeba mambo mengi.
Ingekua inawezekana apo akae tu Raisi wa toronto mstaafu (Mwaniry )yaan angefit mnoNina mashaka hapa mkuu maana sitegemei awe mwanamke.. wala awe wa imani moja na mhe Raisi na ofcourse hawezi kuwa Membe.
Hatutafut kiongoz wa chama tunatafuta kiongoz wa nchi izo cv za ccm hatuzitakBinafsi nilikuwa namuona January kwenye hiyo nafasi ila tangu wadau wanitolee macho kuwa jamaa haitawezekana kutokana na dini, basi karata yangu nairusha kwa Nchimbi, hata nikititazama utendaji wake alipokuwa kiongozi wa UVCCM na jinsi anavyokijua chama, hapo naona kabisa anaweza kupata nafasi.
Kigezo cha dini kimefanyaje? Tangu lini Tanzania kukawa na kigezo cha dini kwenye teuzi?Binafsi nilikuwa namuona January kwenye hiyo nafasi ila tangu wadau wanitolee macho kuwa jamaa haitawezekana kutokana na dini, basi karata yangu nairusha kwa Nchimbi, hata nikititazama utendaji wake alipokuwa kiongozi wa UVCCM na jinsi anavyokijua chama, hapo naona kabisa anaweza kupata nafasi.
..."kama kuna kitu nakifahamu vilivyo hapa Duniani ,ni CCM .." J.Kikwete.Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!
Ndio katiba inavyosema?PM hakuwa muislamu.. Lowassa na Pinda.. tatizo kwa sasa tayari rais na PM ni waislamu so VP lazima awe mkristo.
Hapana ila hiyo ndio inaitwa tamaduni, mila na desturi. Rais huwa anaapa kuilinda katiba pamoja hayo mengine.
Mtashuhudia vituko..Anaitwa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, alizaliwa Kilimatinde, Manyoni, Singida. Baba yake (Mchungaji na Mwalimu) ni Mgogo na mama yake (Mwalimu) ni Mkaguru wa Kilosa.
Baadae wazazi wake walihamia Mvumi Makulu, Chamwino, Dodoma.
Ni kweli katiba inasema hivyo au mmesikia tu fulani kasema?Katiba inamtaka Rais aliye apishwa kuteua makamu wake ndani ya siku 14 tangu alipo apishwa