Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Machawa hayanaga msimamo na week kadhaa zijazo watamgeuka kiongozi wao ambaye wanamsifia sasa hivi. Tuko hapa.
Utakutana sana na " Ujue yule hutukumchagua, alijiteua mwenyewe" nyingi sana. Ghafla na wao wataanza kuchukia ufisadi na kuchukia utekaji. Tuko hapa