Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.

Chamsingi mwambie atubu.....!
I wish her quick recovery......
 
Hivi unaweza kumhukumu mtu aliyepewa rambirambi na Rugemalira bila kumhukumu Rugemalira? Watanzania wengi naona hata shule walienda kusomea ujinga.
 
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Kuwa mgonjwa muda mrefu kuna muondoleaje makosa yake use common sense.
 
bongo mwiz wa kuku tu ndo mwiz..ila hao wengine wanaoiba mabilion wanapewa adhabu za kufagia...na wanaachiwa huru
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Hahahahahha mmejua sio raia baada ya kujiuzulu!!!! Ila cku zote zile mnamtumia hamkujua sio raia ccm bhana mnafurahisha hta bashe ni raia ila siku akihamia UKAWA tutaambiwa sio raia
 
Jana nilisema hakuna kiongozi wa Africa anaweza kujiuzuru kirahisi namna hiyo.
Hawa wana mengi sio bure sasa tatizo siku hizi ujanja ni kumponda rais Magufuli!!
 
H
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Hatuna utamaduni wa kujiuzulu, labda ndio wametufungulia njia.
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Hayo mengine hayatuhusu! ss tunajua wameachia ngazi kwa matakwa yao.
 
Tatizo la huyu mungu wao wanataka kutuaminisha kila kitu yupo sawa khs jaji msuya huyu ndugu yetu tu najua alikuwa anaumwa...
Lakini kuugua hakumuondolei kashfa ya kesi za mihadarati
 
Ila hiyo ya Jaji Mjuluzi na Escrow sidhani kama ni sababu labda ya Uraia. Nitaamini Escrow ni sababu siku nikiona wahusika wote wa Escrow wanaachia ngazi kama Viongozi au kuwajibishwa i.e. Nyoka Mwenye Makengeza, Ngereja, Tiba .....!!
 
Ni urongo hawa majaji walikuwa wakishughulikia kesi za utumbuzi na wengi walioenda kwao walishinda hvyo kwa heshima wakaambiwa wajitumbue kwa kuandika barua, saidi meck yeye alimuambia raisi mei mosi kuwa asichukie kuchomekea kwani hata yeye akiwa wazili wa ujenzi alikuwa akichomekea kwa rais aliyepo madarakan(kikwete) lkn hakuwa anakasirika hvyo palepale alisema "isije nikachomekea nikajikuta hata nafasi naipoteza" na kweli leo nafasi ameipoteza suala la ubadhilifu wangapi wapo serikalini lkn n wabadhilifu nguli kaeni na wazee wa vijisenti vyenu hao DEMOKRASIA ukabila n tatizo
 
Shetani hataacha kuwatumia watu kusema uongo uthibitisho hakuna,unaweza sababu nyepesi
 
Mimi sina interest na yeyote nipo kijijn mtwara lakini kweli wachonganishi nyie mnastahili adhabu kubwa
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!

Uongozi uliyopita ulikuwa umeoza vibaya sana. Sheria ilikuwa ya kununua. Inatakiwa hawa watu wachukuliwe hatuwa, hata kama wamejihuzuru ikiwa tuhuma hizi ni za ukweli kuonyesha mufano kwa watu wengine waliokuwa kwenye madaraka. Huwezi kujiuzuru na ukabaki huru wakati umefanya makosa ya jinai. Kila rushwa ama kuitafuna pesa za Watanzania ni makosa mabaya ya kuwatesa Watanzania walio wengi, Sasa tunategemea Cheyo na yeye ajiuzuru kwa pesa za rada na escrow. Cheyo kuwa bungeni ni kuwaita Watanzania WAJINGA.
 
Back
Top Bottom