Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama vile wachagga wanavyosingiziwa wazawa wa JRO ni waizi...inatuumiza lakini basi tu.Hii tabia ya kutusingizia wazawa wa Kagera kutokuwa raia muache mara moja. Kupakana na nchi nyingi sio sababu ya kutushuku na kutuzushia.
Taratibu za kumuwajibisha jaji ni ngumu saana......tuyaache yalivyo sisi tuchape kaziKama makosa ni hayo kwa nini serikali haikuwawajibisha inasubili wajiuzuru!!????????
Kwanini rufaa haikukatwa? Mkuu,usiamini porojo.lakini wale wapakistani wa madawa ya kulevya aliwapa dhamana kwa nini na state attoneys wakisema wabaki ndan kwa sababu wangetoroka. lazima alipiga mpunga huyu. mtaani wapo wanamjua huyu jaji.
nauliza hilo kwa sababu huwa wanaforce kupinga kila kitu bila kujali ni chema au kiovu...Kwanini tulalie kwenye maoni ya wanachadema ilhali waliong'atuka walikuwa watumishi wa umma ambao mishara yao inatokana na kodi zetu pasipo kuangalia mrengo au ufuasi wa chama?!
Jiongeze mkuu you should learn to be flexible.nauliza hilo kwa sababu huwa wanaforce kupinga kila kitu bila kujali ni chema au kiovu...
Chanzo cha ndani ndio nini? Acha unaziHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Ukiwa mgonjwa kwa muda mrefu unaomba kustaafu kwa sababu ya kiafya. Jopo la madaktari (Medical Board) huundwa kukuchunguza na kutoa recommendations zake. Likiona kuwa kweli afya yako hairuhusu (unfit) kuendelea na ajira yako kwenye utumishi wa umma, basi mamlaka husika inakustaafisha na kulipwa haki zako zote pamoja na pension yako ya uzeeni.Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
[emoji106] [emoji106]Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Huyu mama ni rafiki yangu wa karibu... ni kweli kaachia ngazi shauri ya ugonjwaMkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Unaelewa maana ya misconduct Lakini?Najua alichoandikwa. Lakini,kimahakama hakuwa muamuzi wa mwisho. Kulikuwa na Mahakama ya Rufani. Kwanini wasioridhika,kama Jamhuri,hawakukata rufaa?
Huyu mama ni rafiki yangu wa karibu... ni kweli kaachia ngazi shauri ya ugonjwa
Unafahamu taratibu za kumuondoa jaji ofisini?Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Huyu ni muongo tuu,ni wale wanaofikiri kila kitu rais anajiamulia tuu,utawasikia hata kesi ya Malima Magufuli anahusika.Wanaboa mmoja niko naye nyumbani anaonesha chuki kubwa na watu waliokuwa serikali ya Kikwete,nimemuuliza sababu anadai walim..t..omba hawakumlipa.Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?