Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Kuwa mgonjwa muda mrefu kuna muondoleaje makosa yake use common sense.Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Hahahahahha mmejua sio raia baada ya kujiuzulu!!!! Ila cku zote zile mnamtumia hamkujua sio raia ccm bhana mnafurahisha hta bashe ni raia ila siku akihamia UKAWA tutaambiwa sio raiaHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Hatuna utamaduni wa kujiuzulu, labda ndio wametufungulia njia.Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Hayo mengine hayatuhusu! ss tunajua wameachia ngazi kwa matakwa yao.Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Lakini kuugua hakumuondolei kashfa ya kesi za mihadaratiTatizo la huyu mungu wao wanataka kutuaminisha kila kitu yupo sawa khs jaji msuya huyu ndugu yetu tu najua alikuwa anaumwa...
Kwani kufukuza kazi watu ovyo na matamko ya ajabu ajabu kila kukicha kunatupunguzia ugumu wa maisha...Lakini kuugua hakumuondolei kashfa ya kesi za mihadarati
Labda chanzo cha habari kwa huyo RC lakini kwa hao Majaji wao walishaamua kuihujumu Tanzania siku nyingi na haikuwa siriWeka wazi chanzo chako cha habari tafadhali mkuu @Chochabamba!
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.