Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Ukiachana na mapungufu ya uwasilishwaji wa taarifa hii, hizi tetesi ni kweli na ubayana upo ndani yake.

Kujihudhuru kwa hawa watumishi ukiangalia kwa jicho la ndani, ilikuwa sio rahisi kuwajibishwa na mamlaka kuu.

Watumishi hawa walikuwa directly attached na familia kuu iliyopita, haijarishi ni katika uhusika upi ama tuhuma gani...

Tuunganishe Clue,
Mecky ni rafiki na swahiba mkuu wa ile familia.
Jaji mpare alishinikizwa na familia kuu kuwapa dhamana wale wapakstani(mengine sitaingia kiundani) kisha wakasepa, make ile familia ilihusika na yale makitu.
Jaji mhaya ni kweli alihongwa na Ruge kwenye kashfa ya Escrow ambayo vilevile familia kuu ilihusika kwenye ukwapuaji wa yale madola...
Mzee Magu, hata angekoroma vipi na mikwara yake ila ipo wazi isingekuwa uamzi wa ghafla wa mwenye nyumba aliyepita, leo hii makazi yake yasingekuwa pale jumba kuu.

Kila mbabe ana mbabe wake.
Msifungue ya uvunguni, mnamuaibisha bwana mbabe...
 
Kwa mujibu wa mtoa taarifa anadai kwamba Source ya habari hizi ni chanzo cha ndani. Chanzo cha ndani ya papuchiiii au dushe?
 
Sorry tunaweza kupata na taarifa za ndani kabisa kuhusiana na bash boy? Plz assist
 
Nasubiri tamko la mkuu ktk hili, Atazungumza llte ama nDio ATAPIGA chiniii km Issue ya Bashite..
 
Unajua lolote kuhusu kesi zake za mihadarati?
 
Sawa, kama taarifa hizi ni za kweli.

Duuuuuuuh, huyo ambaye siyo raia habari hii inasikitisha.
Sasa , alifikaje hadi ngazi za kuwa jaji wakati siyo raia!?
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Kwani MTU aki achaka kazi ataandika sababu za ukweli za yeye kuacha kazi ?mkuu ni wachache SNA wanaandika ukwwli
 
Kwenye escrow walikuwa Majaji Wawili Huyo Mujulz na Mwngine nadhan alikuwa prof km sikosei. Kwanini atolewe huyu mmoja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…