Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Ukiachana na mapungufu ya uwasilishwaji wa taarifa hii, hizi tetesi ni kweli na ubayana upo ndani yake.
Kujihudhuru kwa hawa watumishi ukiangalia kwa jicho la ndani, ilikuwa sio rahisi kuwajibishwa na mamlaka kuu.
Watumishi hawa walikuwa directly attached na familia kuu iliyopita, haijarishi ni katika uhusika upi ama tuhuma gani...
Tuunganishe Clue,
Mecky ni rafiki na swahiba mkuu wa ile familia.
Jaji mpare alishinikizwa na familia kuu kuwapa dhamana wale wapakstani(mengine sitaingia kiundani) kisha wakasepa, make ile familia ilihusika na yale makitu.
Jaji mhaya ni kweli alihongwa na Ruge kwenye kashfa ya Escrow ambayo vilevile familia kuu ilihusika kwenye ukwapuaji wa yale madola...
Mzee Magu, hata angekoroma vipi na mikwara yake ila ipo wazi isingekuwa uamzi wa ghafla wa mwenye nyumba aliyepita, leo hii makazi yake yasingekuwa pale jumba kuu.
Kila mbabe ana mbabe wake.
Msifungue ya uvunguni, mnamuaibisha bwana mbabe...