Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Hii tabia ya kuwasingizia watu kama sio watanzania baada ya kukorofishana na serikali ni too much!
Mtu mpaka amekuwa jaji alipitaje huko nyuma?
Ife mara moja...sio sababu ya kweli. Labda Escrow. Tukiiendekeza majangili wataitwaa nchi maana watu wote wenye uwezo watakuwa sio raia
 


hapo kwa jaji wa escrow bas yule tibaijukana na profesa muongo sana wana roho ngumu
 
Hii tabia ya kuwasingizia watu kama sio watanzania baada ya kukorofishana na serikali ni too much!
Mtu mpaka amekuwa jaji alipitaje huko nyuma?
Refer gen.ulimwengu na Bashe...ukiwa against ndio unakuwa sio raia
 
Ukweli usio na uthibitisho nao ni ukweli? Porojo ulizoandika,mzushi yeyote kama wewe anaweza kubwabwaja hivyo. Kiwanda cha uongo!
Petro unaniangusha, leta na wewe data zako ili tujue unatetea nini? au kwa sababu ni wa tasnia ya sheria asisemwe??
 
Ukweli usio na uthibitisho nao ni ukweli? Porojo ulizoandika,mzushi yeyote kama wewe anaweza kubwabwaja hivyo. Kiwanda cha uongo!
Wewe unashupalia suala la ukanushaji wa habari kama hizo kwa povu bila ya kutoa utetezi wenye manufaa. Ninakuwa nina wasiwasi na uchangiaji wako unavyofanana na watetezi wa hoja za wauza madawa ya kulevya. Haya ya hoja za utetezi wa nguvu na povu, umetokea sana hasa mambo ya msako wa wauza ngada ulivyoanzishwa rasmi.
 


Naona magu mwenyewe au watu wake wa press wameamua kuvujisha.
 
Kwenye escrow walikuwa Majaji Wawili Huyo Mujulz na Mwngine nadhan alikuwa prof km sikosei. Kwanini atolewe huyu mmoja tu?
Endelea kufukunyua mkuu yapo mengi mengine...
 
Acha kupiga ramli, wangapi wana makashfa zaidi ya hayo hawajajiuzulu? Kuna mtu ana kashfa kama bashite? Mbona hajajiuzulu?
 
chadema wanasemaje juu ya hili...
Kwanini tulalie kwenye maoni ya wanachadema ilhali waliong'atuka walikuwa watumishi wa umma ambao mishara yao inatokana na kodi zetu pasipo kuangalia mrengo au ufuasi wa chama?!
 
Fake from true identity ...it is not real...ungeza kimo kidogo cha uelewa wako utakuwa confortable
I think you would better construe the argument I raised, which is well anchored in media, and particularly JF philosophy. Yours is such parotic notion. In the media fraternity the term fake doesn't equally mean undisclosed/concealed identity for security reasons.
 
Kama ni mgonjwa kwa nini hawajaeleza ni kwa sababu za ugonjwa? Labda ipo sbb nyingine tu
 
Hao ambao wanawashurutisha wenzao wajiuzuri kwa sababu ya uchafu wenyewe hawastahili kuwepo hapo walipo kwa sababu ni wa chafu zaidi yao yaani ni mashetani.

Nazani hao watu wamechoka tu kutumika na pia ile vita ya utawala huu na ule uliopita bado inaendelea.
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
waameambiwa wachague moja! kujiuzulu wenyewe na kuwa huru kabisa au wakamatwe washitakiwe wadhalilike na kufungwa kwa miaka mingi. Wamechagua kujiuzulu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…