Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Kwako wewe bi. 2 ni za kununulia matango ya watoto sio?bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako wewe bi. 2 ni za kununulia matango ya watoto sio?bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Fake from true identity ...it is not real...ungeza kimo kidogo cha uelewa wako utakuwa confortableHello ndugu, ID inakuwaje feki? Ninachojua mimi kwenye media industry watu wengi humu wanatumia unverified/undisclosed au pen names, which is acceptable. Sasa ufeki unatoka wapi? Nadhani ume-overreact.
Akiwatumbua atakua anawalipaJamaa anavyopenda kick za kutumbua...hizo tuhuma ulizosema ingekuwa kweli asingesubiri wajiuzuru angewapiga kata funua haraka sana...apate sifa.
lakini wale wapakistani wa madawa ya kulevya aliwapa dhamana kwa nini na state attoneys wakisema wabaki ndan kwa sababu wangetoroka. lazima alipiga mpunga huyu. mtaani wapo wanamjua huyu jaji.Ukweli usio na uthibitisho nao ni ukweli? Porojo ulizoandika,mzushi yeyote kama wewe anaweza kubwabwaja hivyo. Kiwanda cha uongo!
Ni kweli mkuu. Nimepata fununu kuwa DAB alifanya ziara ya kushitukiza 8/5/2017 ktk mkoa wa Kilimanjaro. Alienda ofisi ya mkuu wa mkoa lkn mzee Meck hakuwepo, kisha akaenda Chuo cha Ushirika Moshi na kuongea na wanafunzi. Aaah!! Huyu DAB ni nani nchi hii??Bashite atakuwa amemchongea mambo mengi ya uongo na kweli kwa magu. Watu wenye uwezo mdogo wanafanya kazi kwa fitnah.
Wametakiwa kujiuzulu ama sivyo hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao, hasa hao majaji ambapo wangeundiwa tume kwa mujibu wa katiba na taratibu za kuwavua ujaji kuchukua mkondo wake ingekuwa ni aibu kubwa.Haya maneno ningeyaamini kama wangekuwa wametumbuliwa ila siyo kwa wao kujiuzulu kwa hiyari yao wenyewe..
Mbona hamna cha ajabu hapo. Inawezekana mmoja aliandika barua mwaka jana, mwingine mwezi uliopita na mwingine jana. Ila leo ndio zimekubaliwa kwa pamoja barua zao za ku resign.it might be aisee, I was wondering what kind of coincidence for those 3 big shots to resign all at once.
There might be an external factors.
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Errra ya mmboga(kwa sauti ya mama)bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Mbona kina Manji, Gwajima na (TID, Chid Benz, Wema, Masogange, Babu wa Kitaa) waliotajwa na Bashite wamepewa dhamana na serikali hiyo hiyo haijamlalamikia jaji aliyewapa dhamana wakati Bashite kasema wao ni wauza madawa wakubwa, au wao hawana miguu ya kutorokea?lakini wale wapakistani wa madawa ya kulevya aliwapa dhamana kwa nini na state attoneys wakisema wabaki ndan kwa sababu wangetoroka. lazima alipiga mpunga huyu. mtaani wapo wanamjua huyu jaji.
Siyo kweli mnawachafua watu bila sababu wewe Ni Msemaji wa Selikali?Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Tecknohama inahama nae tu hakuna cha ID feki hapo mkuuMkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.