Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Ciell pumzika kwa sasa nadhani maswali yatakayokuja from this tyme yatakuwa na harufu ya value, nyagi, gines et al. Nenda nawe sasa kaagize chochote upooze koromeo.
 
Last edited by a moderator:
Thanx mkuu tuko pamoko!
 
Last edited by a moderator:
Ok tatizo host@Zinduna katoweka so sijaelewa kama show imefika tamati ama inaendelea!
Ciell pumzika kwa sasa nadhani maswali yatakayokuja from this tyme yatakuwa na harufu ya value, nyagi, gines et al. Nenda nawe sasa kaagize chochote upooze koromeo.
 
Last edited by a moderator:
Una mtazamo gani juu ya manoah baada ya kukusema kuwa ulijitongozesha kwake ikiwa yeye alikuwa anampenda lara 1!!???
 
Last edited by a moderator:
Thanx mkuu!ur welcom.
 
rabekhaaaaa Zinduna! nimekimbiaje sasaapo nilikuwa msoga, bimekwenda kumroga babu Asprin, limbwata lake lilikwisha, ndio nimekwenda ongeza dozi!, lol
 
Last edited by a moderator:
Vinavyohusu maswala ya uchumi,siasa na novels.4 music napenda rhumba,nigerian music na bongofleva

oukey mamito, ngoja nisikuchoshe. asante mwaya kwa kujibu maswali yangu. uwe na weekend njema!
 
Ciello nina mpango wa kukualika kwa 3some na hubby wangu kipenzi Asprin! vipi utaitika wito?? na ungependa kuplay position gani during the game??
 
Last edited by a moderator:
No.6:kama wadau wengine walivyopopose nadhani itakuwa jambo jema waandaaji wazungumze na mods kuwe na utaratibu wa poll count,ambayo itakuwa automatic kuepusha malalamiko.

poll itakuwepo kwenye kumsaka miss chit-chat wa mwaka 2013 amabzo zitawajumuisha ma-miss wa miezi yote,hizi za kila miezi ya itabaki kama kawa kama dawa
 
Alafu wewe Baba V mbona mnamfiki sana mh! haya kuhusu nenda ukakojoe ulale lol! Umeona me Nikiwa na Ciello Kama utakufa vile mh!

teh teh teh!!! manoah upo!!?? ni aje aisee!!??? hongereni kwa ushindi bana
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikutake 'razi' kwa kuchelewa kuja hapa Zinduna, (I hope my apology will be granted and accepted.) Kwako Ciello congratulations kwa kujibu maswali ki-hekima zaidi. Pili una INTELLIGENT QUOTION KUBWA, Lastly keep our promise alive! Much love

nitakugonga vichwa.......BTW hongera sana miss CC umestaili tuzo asante kwa majibu mazuri
 
Hahahahahah, sijawahi jaribu hyo,ila wawezanipa maufundi!
Ciello nina mpango wa kukualika kwa 3some na hubby wangu kipenzi Asprin! vipi utaitika wito?? na ungependa kuplay position gani during the game??
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh!!! manoah upo!!?? ni aje aisee!!??? hongereni kwa ushindi bana
Nipo aseme baba yangu, na kunywa ka banana hapa..... Mzima? habari za Jumamosi... Weekend Njema Asnteee sana ingawa najua roho inakuuma Arabella kushindwa ila ndi ushindani babaaangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…