Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Champ Ciello. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Nafurahi kura yangu haikupotea bure. Hongera zako nyingi kwa ushindi wa kishindo/Tsunami. Hongera pia kwa kampeni team yako iliyoongozwa na Meneja wa kampeni yako Mwita Maranya
Ciell pumzika kwa sasa nadhani maswali yatakayokuja from this tyme yatakuwa na harufu ya value, nyagi, gines et al. Nenda nawe sasa kaagize chochote upooze koromeo.
So sad miss chit chat, I know how it feels,, you lost your precious mother 10 days before examz... I can't imagine thngs you have been going through... Pole sana ciello, naomba nikufahamu please ( wana cit chat msilete majungu hapa kisa mmesikia kufahamiana as jamii forums ni zaidi ya social network mnaweza mkajikuta mmeramba kadi za ubwabwa kama masikhara)
rabekhaaaaa Zinduna! nimekimbiaje sasaapo nilikuwa msoga, bimekwenda kumroga babu Asprin, limbwata lake lilikwisha, ndio nimekwenda ongeza dozi!, lolMbona hapa siwaoni: kitalolo, Erickb52, Mungi, Arushaone, Preta, marejesho, Mr. Rocky, Lizzy, Erotica, cacico, gfsonwin, snowhite, Smile, Kipipi, nivea, lara 1, charminglady, @c6, King'asti, Madame B, MadameX, Bujibuji, Asprin, MziziMkavu, BADILI TABIA, nyumba kubwa na wana Chit Chat maarufu humu.
Hebu njoooni jamani tushiriki kwenye kipindi hiki adhimu.
Vinavyohusu maswala ya uchumi,siasa na novels.4 music napenda rhumba,nigerian music na bongofleva
No.6:kama wadau wengine walivyopopose nadhani itakuwa jambo jema waandaaji wazungumze na mods kuwe na utaratibu wa poll count,ambayo itakuwa automatic kuepusha malalamiko.
oukey mamito, ngoja nisikuchoshe. asante mwaya kwa kujibu maswali yangu. uwe na weekend njema!
Nipo aseme baba yangu, na kunywa ka banana hapa..... Mzima? habari za Jumamosi... Weekend Njema Asnteee sana ingawa najua roho inakuuma Arabella kushindwa ila ndi ushindani babaaanguteh teh teh!!! manoah upo!!?? ni aje aisee!!??? hongereni kwa ushindi bana
nitakugonga vichwa.......BTW hongera sana miss CC umestaili tuzo asante kwa majibu mazuri
Haya tulishazungumza na kuyahitimisha.mzima weye??