Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Tupo pamoja mama!No.4:siri ya ushindi ni wadau wangu walonisaidia kukampeni na mie mwenyewe kwenda some extra miles.napenda kuwatambua wadau wachache akiwemo mkuu Mwita Maranya, manoah, mathematics Grenade, mamito snowhite, Madame B,..nashukuru kwa sapoti yenu!
Ok sawa....! Yeye ( Amyner ) ndiye Miss JF yan majukwaa yote yeye ndo kiongozi na ni wakudumu hakuna mashindano mengine hadi nitakapoamua so hata Ruhazwe JR anajua hilo ndio maana anaandaa ya chit chat tu na akileta ubishi Thread yake naipeperusha kama nanawa vile!Hapana nimekuwa nikikusikia ukimtaja mara kwa mara!
No.2:JF nimeifahamu mwaka 2008 wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka kwanza chuoni.Nimekuwa guest kwa kipindi kirefu.Mwezi september mwaka huu ndipo nilipoamua kuwa mwanachama rasmi wa JF.
charminglady hujambo mdada?Ciello unaweza kunambia ni nini hobbies zako?
Umekosea njia hii ni three phase, chezea uone baraa lake.... Wivu wakati una ........ Nimtaje?Umekuja na maneno yako eeeeh alokwambia cielo mama nani?
Halafu dogo angalia maneno yako ooooh uliza swali sio mahaba ntakula kichwa hujui nina wivu
Hapo kwenye bold naomba manoah aje aone then sisi tunakaa pembeni
Wakati nina Amyner , Kipipi , Remmy , The secretary , BADILI TABIA n.kUmekosea njia hii ni three phase, chezea uone baraa lake.... Wivu wakati una ........ Nimtaje?
"Alikuwa" vp nayeye ameungana na the departed brethren?halafu mbona huonekani kuwa na hisia za undani na baba
Wolaaaaaa....... mtu mzima ..... UtamaliziaHapo kwenye bold naomba manoah aje aone then sisi tunakaa pembeni
Pia naomba Blaki Womani na marejesho waje waamue
Unapepo wa tamaa.... Bro! Siku zako zinahesabika
Ok sawa....! Yeye ( Amyner ) ndiye Miss JF yan majukwaa yote yeye ndo kiongozi na ni wakudumu hakuna mashindano mengine hadi nitakapoamua so hata Ruhazwe JR anajua hilo ndio maana anaandaa ya chit chat tu na akileta ubishi Thread yake naipeperusha kama nanawa vile!
Miss you Amyner
nakupongeza mama kwa ushindi mnono u real deserve this
Mpe heshima zake tu ni mzazi!No he is alive and kicking,sijaishi naye kwa kipindi kirefu thats why!