Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Hapana nimekuwa nikikusikia ukimtaja mara kwa mara!
Ok sawa....! Yeye ( Amyner ) ndiye Miss JF yan majukwaa yote yeye ndo kiongozi na ni wakudumu hakuna mashindano mengine hadi nitakapoamua so hata Ruhazwe JR anajua hilo ndio maana anaandaa ya chit chat tu na akileta ubishi Thread yake naipeperusha kama nanawa vile!
Miss you Amyner
 
Last edited by a moderator:
No.2:JF nimeifahamu mwaka 2008 wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka kwanza chuoni.Nimekuwa guest kwa kipindi kirefu.Mwezi september mwaka huu ndipo nilipoamua kuwa mwanachama rasmi wa JF.

nakupongeza mama kwa ushindi mnono u real deserve this
 
Swali la mwisho

Nani alikutoa bikira bi Ciello. Ulijisikiaje? Ukikutana naye utajikumbushia? Kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Tupo pamoja mama!
Umekuja na maneno yako eeeeh alokwambia cielo mama nani?
Halafu dogo angalia maneno yako ooooh uliza swali sio mahaba ntakula kichwa hujui nina wivu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikutake 'razi' kwa kuchelewa kuja hapa Zinduna, (I hope my apology will be granted and accepted.) Kwako Ciello congratulations kwa kujibu maswali ki-hekima zaidi. Pili una INTELLIGENT QUOTION KUBWA, Lastly keep our promise alive! Much love
 
Hapo kwenye bold naomba manoah aje aone then sisi tunakaa pembeni
Pia naomba Blaki Womani na marejesho waje waamue
 
Last edited by a moderator:
Its ok with me!
Ok sawa....! Yeye ( Amyner ) ndiye Miss JF yan majukwaa yote yeye ndo kiongozi na ni wakudumu hakuna mashindano mengine hadi nitakapoamua so hata Ruhazwe JR anajua hilo ndio maana anaandaa ya chit chat tu na akileta ubishi Thread yake naipeperusha kama nanawa vile!
Miss you Amyner
 
Last edited by a moderator:
nimemiss vingi ila ni bora kukawia kikubwa kufika

swali wakati wa kupika unapenda kuvaa nini?
 
Its ok with me!
Yan cielo umekuwa na upeo sana kwenye kujibu ukilinganisha na akina fulani watotangulia kama nanii lol siwataji ila we tembelea Profile la Zinduna then utawakuta wanavyojibu pumba lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom