Kama ni Dark City basi atahojiwa na bibi so tutaangalia km Kongosho atakuwa free au mbibi mwingine saizi yake babu maana tusema ahojiwe na Preta au BADILI TABIA babu atajitoa JF
Ili niwambie nini?
Labda tuanzishe ya kwetu ya 1947!
Nyie dot com mnapeana utadhani ni mchanga mmeuchota pwani wakati wenzenu tumekuja kuona mapaja tu ya hawa watu tukiwa na meno yetu yote 32+/- 1! Na hapo usiulinze kuwa tumeonjeshwa tukiwa na miongo mingapi!
Story zetu nyie tuachie wenyewe!
ndo mmwambie kabisa riterd officer huyu !hachelewi kusema mlipwaswa kumpa taarifa mwezi juzi!
ahojiwe na Mamndenyi
Hahahaaa babu waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba...tafuta mwaarabu mwenzio mgonge show
Ha ha ha ha! Kama babu Asprin angekuwa na miakili kama yako hakika jf chit chat wajukuu wangekuwa wametulia!Mbona unakuwa mgumu kuelewa?
Show ya babu na bibi, inawezekana vipi wajukuu ndo wawe watazamaji?
Hebu endeleeni kupeana majibu ya kuzugana kama aliyowapa Madame B leo....
Mtu anawezaje kufunguka kiasi hicho bwana?
Labda kwa kuwa na nafikiria kizee zee!!
Babu DC!!
ahahhhahhhhahhh kwani kuna ubaya gani babu jamani!mtu lirarua minor na sasa hivi anaendelea kurarua minor yule yule lakini sasa hivi akiwa senior!vibaya hivo babu!Hivi mnataka nini nyie watoto?
Halafu wewe? Umesahau kuwa bado naandaa kesi ya yule jamaa aliyemrarua minor?
ahahhahhahahhahhahahha mi kwa kweli nataka kusikia ulivokuwa unamtafunisha bibi majani!huku unacheki huku na huku kama kaka zake wanakuja usawa wa mtoni!Hahahahhahah,
Mie mzima SL,
Hebu malizaneni kwanza na wakongwe wa CC!!
Kwani mtaka kusikia nini toka kwa Babu?
Babu DC!!
Hahahaaaa Preta yupi?? Huyo ntakuwa simjui babuHakuna dogo dogo wa kumuweza babu. Kama huamini muulize Preta aliyetia mpira kwapani.
Ngoma yangu nzito ndiyo maana wote jana mmeingia mitini.
Hongera zao Blaki Womani, PakaJimmy na Lily Flower kwa kujaribu