Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Mkuu erick B52 , madame b kanifanya mbaya sana kumbe aliweka vijeba tayari ili kutudhibiti mm na Chilli tusiingie kwenye shoo...kwa bahati Chilli alifanikiwa kukimbia ila mm walinishika ndo wameniachia saa kumi hii jioni...
Heheheee pole umekosa uhondo tedo
 
Last edited by a moderator:
Ili niwambie nini?

Labda tuanzishe ya kwetu ya 1947!

Nyie dot com mnapeana utadhani ni mchanga mmeuchota pwani wakati wenzenu tumekuja kuona mapaja tu ya hawa watu tukiwa na meno yetu yote 32+/- 1! Na hapo usiulinze kuwa tumeonjeshwa tukiwa na miongo mingapi!

Story zetu nyie tuachie wenyewe!

Hahahaaa babu waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba...tafuta mwaarabu mwenzio mgonge show
 
ndo mmwambie kabisa riterd officer huyu !hachelewi kusema mlipwaswa kumpa taarifa mwezi juzi!
ahojiwe na Mamndenyi

Hivi mnataka nini nyie watoto?

Halafu wewe? Umesahau kuwa bado naandaa kesi ya yule jamaa aliyemrarua minor?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa babu waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba...tafuta mwaarabu mwenzio mgonge show

Mbona unakuwa mgumu kuelewa?

Show ya babu na bibi, inawezekana vipi wajukuu ndo wawe watazamaji?

Hebu endeleeni kupeana majibu ya kuzugana kama aliyowapa Madame B leo....

Mtu anawezaje kufunguka kiasi hicho bwana?

Labda kwa kuwa na nafikiria kizee zee!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha! Kama babu Asprin angekuwa na miakili kama yako hakika jf chit chat wajukuu wangekuwa wametulia!

Uwe unapita huku babu Dark City angalau uje uwafungue wajukuu macho lol.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnataka nini nyie watoto?

Halafu wewe? Umesahau kuwa bado naandaa kesi ya yule jamaa aliyemrarua minor?
ahahhhahhhhahhh kwani kuna ubaya gani babu jamani!mtu lirarua minor na sasa hivi anaendelea kurarua minor yule yule lakini sasa hivi akiwa senior!vibaya hivo babu!
 
Majibu yako yote uliyotoa Madame B ya ukweli ni 40% iliyobaki najua mimi..
Babu ODM Bange,Bange,Bange,Bangeeeeeeeeeeeeeeeee.........................
 
Last edited by a moderator:
ahahhhahhhhahhh kwani kuna ubaya gani babu jamani!mtu lirarua minor na sasa hivi anaendelea kurarua minor yule yule lakini sasa hivi akiwa senior!vibaya hivo babu!

snowhite ongea na babu umuweke sawa kwa show
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahah,

Mie mzima SL,

Hebu malizaneni kwanza na wakongwe wa CC!!

Kwani mtaka kusikia nini toka kwa Babu?

Babu DC!!
ahahhahhahahhahhahahha mi kwa kweli nataka kusikia ulivokuwa unamtafunisha bibi majani!huku unacheki huku na huku kama kaka zake wanakuja usawa wa mtoni!
 
Hahahahaaaaaa babu na wewe majungu unayo lol

Majungu au umesema mwenyewe....

Ningekuwa mtu wa kusutana ningekutafutia na post kabisa.....

Naona wewe na Arushaone ni mapacha kwenye mambo ya ufisi fisi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom