Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52


Hahahahaha
lolestination... Dark City.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, yaani usinikumbushe manake kesho jumapili morning glory ni.kwa padre massawe. Nampenda sana Mungu but i wish ibada ingekuwa jioni, mweeh! Madame B, polee. Raha ya maisha ni kuamka nao aisee.

Mama weeeee....
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe?

Hilo ombi haliwezi kukubaliwa hata kwa dawa? Labda niombe msaada wa mmojawapo wale niliowakabidhi urithi!!

Cc....Bibi DC!!

Babu DC!!

Hao wenyewe ni mafataki watupu.
Wasije nipekenyua bure.
 
Ukiona hvo ana kidole cha mwisho.


Ndo maana kuna majibu yako sijayafagilia kabisa?

Unataka kuua confidence ya wajukuu wangu hivi hivi?

Unadhani kweli dume la ng'ombe nalo halikutamani kupewa ndevu kama za beberu la mbuzi?

Mie nawapa matumaini tu wajukuu zangu kwamba hata kama kapunjwa, lazima atapata mtu wa kumfichia siri na kumvumilia hata kama atakuwa anapata huduma ya majeshi ya kukodi!!


Babu DC!!
 
Kumbe na wewe ni mteja eeh? Aisee!
Asalaaale naona mwili wangu umesisimka ghafla na baadhi ya maeneo yanaanza kujinyoosha mweeee!
Hebu tuendelee na show!

Swali la 14:

Je, Ushawahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja (Kusagana) ?
 
We koma kumzeesha mwenzio, kwa ujana upi ulionao mpaka umwamkie babu Dark City??? Miaka 52 yako na ya DC 35 nani amwamkie mwenzie?

Wewe sasa ndo umebadilisha hizo namba SL

lol.
Ndo mana ulikuwa umechomolea shatii!

Ndo maana nimesema kuwa majibu yako yakuwa ya makusudi tu ili kuwanyanyasa watoto wa wenzio...

Sitaki hii tabia ya kutesa wajukuu zangu...Labda uzae wako kwanza!!

Hahahaha! Ukiamua kuuliza uwe na moyo wa chuma babu DC lol, vinginevyo utaishia kujisononesha bure!

Haki ya nani kihere here cha kuuliza huwa kinatu-cost sana ndugu yangu...

I wish ningeweza kuwashauri wajukuu zangu ili wasijiingize kwenye huo mtego..!!


Hapana Madame B , mie nashauri aje na bibi yetu

Hakuna cha bibi wala shoga yake bibi...

Nimeshasema nitateua mtu wa kuniwakilisha!!

Hahaha, yaani usinikumbushe manake kesho jumapili morning glory ni.kwa padre massawe. Nampenda sana Mungu but i wish ibada ingekuwa jioni, mweeh! Madame B, polee. Raha ya maisha ni kuamka nao aisee.

Nyie watu siwawezi...heri yetu tulishajistaafia...

...hatakuwa free bhana.
Bibi atakuja na TANMO

Hakuna kitu kama hicho, hata enzi za utumishi wake...babu hakuwahi kupokea offer hata moja!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…