Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Halafu na wewe Madame B kwa nini unawapagawisha watptp wa wenzio kwa majibu yako ya kuchonga!
Shauri yako, dogo akikata kamba utalijua jiji.....
Badala ya kuhangaika na wewe uliyemzulia zali la mentali anaanza kuwasumbua wake za watu...
Na huyu marejesho sijui kaambiwa na nani kwamba anaweza kutibu watu zaidi ya mmoja hata kama ni kutoa huduma namba moja (first aid)?
Bahati yake Filipo leo hawezi kusoma kwa sababu ya kuzidiwa na kipigo cha TBL na SBL!!
Babu DC!!
Hahahahaha
lolestination... Dark City.
Last edited by a moderator: