Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Basi ngoja nimlete ndege wangu umuweke tunduni, labda nitaelewa zaidi.......:car:
Kwe kwe kwe! Pacha we mkare lol... Kweli nimeamini kutangulia sio kupata na hakika hiyo siku ikifika wa mwisho atakuwa wa kwanza tehe tehe!
 
Umenikumbusha mwaka '74,nilienda kuombewa nikaambiwa marufuku kuombewa huku umevaa nguo.

Unaongelea 1994 au 2004 Madame B?

Mtu ambaye 2007 alikuwa 21 years old, inawezekana vipi alienda kuombewa 1974?

Sie wa 1947 tunatambua tu kwamba hata ukiamua kuchanganya madesa ila lazima uwe na kumbukumbu ambazo ni sharp kama kisu cha muuza bucha...otherwise inakula kwako..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani naringaje kila wakati my dear haachi kunitaja naamini tutadumu ingawa Baba V kaanza bit please wasiliana nae
 
Last edited by a moderator:
Yaani naringaje kila wakati my dear haachi kunitaja naamini tutadumu ingawa Baba V kaanza bit please wasiliana nae

Hili sasa naona zaidi ya tangazo kwenye gazeti la serikali,,
Arushaone tunakutana wapi mdogo wangu?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwe kwe kwe! Pacha we mkare lol... Kweli nimeamini kutangulia sio kupata na hakika hiyo siku ikifika wa mwisho atakuwa wa kwanza tehe tehe!

Pacha ngoja nitesti zali kwingine Bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…