Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Umeona eeeh
Nanii hadi kisogoni

Pye pye tu hizo dogo!

Watu watia mpira kwapani kila siku halafu yeye anakuja kuwazuga tu?

Labda kama anataka wale wasiojiamini wasepe mapema.

I wish haya mambo yangekuwepo 1947, haki ya nani wauza maji ya kunywa ya chupa wagekuwa mabilionea bila kuficha hata coin uswisi!
 
Hahahahhaaaaaa babu mbona unatisha wajukuu???
 
Ha ha ha!!@Babu DC bana!!! Mbona hivyo ni vya kawaida kwa wanandoa?Au zamani nyie mlikuwa hamvisemi hadharani?

Ndo maana nyie mnaishi kwenye dunia yenu. Enzi zetu hata watoto walikuwa ama wananunuliwa dukani kama midoli au watolewa tumboni kwa kupasua kwa kisu kama vile ni sato!!
 
Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..

Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!
 
Hehehe, babu sasa mbona unakuwa mkali? Wakina michael jordan walistaafu kikapu wakarudi tena, mike tyson nae. Sasa umemsahau na muumin minjuma alisema amepata njia, mara akarudi ooh mapenzi ya Mungu. Kwa raha zako, kaka MziziMkavu ana tiba mbadala kama unahisi kwata bado unaliweza as long as haubadili kiwanja.

mmh, morning glory ya sunday morning mbona nitalala tu hapo na ma breakfastee in bed? Nikiamka hapo ni pilau na kuungamanishana tena aisee, hata sunday skuli nitatega. Nisipoenda first mass, basss!
sijamtisha, nimemu-warn tu. Muache ashupaze shingo, madame b atamuaibisha!
Ha hahahaha mke mwenza King'asti acha kumtisha pacha wangu lol. Teitei mkononi tena???
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, kitoweo kinachoondoa udhu (me and my evil mind, aaaggghhh)
Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..

Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!
 
Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..

Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!

Babu hebu nikumbushe.
Nilisema hapana kwa nini?
Uzee huu.
 
Ndo maana nyie mnaishi kwenye dunia yenu. Enzi zetu hata watoto walikuwa ama wananunuliwa dukani kama midoli au watolewa tumboni kwa kupasua kwa kisu kama vile ni sato!!

Babu DC siku hizi sisi hatumumunyi maneno!!!Watoto wadogo nao siku hizi wanajua kwamba watoto hawanunuliwi!!
Hujakosea Babu,siye tupo ulimwengu mwingine kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…