Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.uwiiiiiiiiiiiiiii......
Niwe mkweli kwa hili Erick.
Mwanaume ambae ni mweusi,mrefu kiasi afu awe na mashine kubwa ndo ugonjwa wangu mkubwa.
Yani hapo sina neno.
mi na swali bishostito Madame B
swali la kizushi..
je huwa unajisikiaje pindi tunapokuPM PM za kukutongoza wewe?
Oyaaa, kutongoza maroufouk, tuma PM kama umeuzimikia mzigo, mweh, wanaume!!!!!!!!!!!!!!
Najua hyo ni kawaida kutongozwa.
Vp unajihami?
..uwiiiii ndo.mchezo wakooooo uwiiiiiii....
Hahahaaaaa mimi mimiiiiii???
ucjali dada mkubwa... nikiwa na nafasi ntakujulisha unipe show moja.... ntaomba kumuhoji Elizabeth Dominic au Erickb52
jamani,huyo shem wangu.
tafadhali huu ni muda wa maswali na si mambo mengine please.