Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Hahahahaha
lolestination... Dark City.

Unacheka nini wewe Madame B wakati mjukuu wangu Erickb52 yuko ICU utadhani amekunywa maji ya sausage tree??

saustr2b.jpg

sausage.tree.jpg

Enzi zetu mtu akinywa hiyo kitu lazima na majirani waje kutoa msaada!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Ah wapi!
Alikuwa habandui macho yake mwilini mwangu.
Loo,yani kitaswira kichwani mwake keshanivua nguo.
 
Last edited by a moderator:
Well yu knoo mr jentroman hia in chitchat inglish is not richabo bikoz awa silabas ended wis ze topic of "senkyu veri mach ticha, we are sitting down limited"

So ken yu ask yua answer in Nyerere langweji plis.

We ol lav your kampan limited and your welcome warm.

Dah, Babu ukimalizana na huyu Mgeni uje kutuambia alikuwa na shida gani...
 
Babu DC unaniua!

Kwa vipi tena na wewe?

Au ndo zile mbwembwe za wadau wa makorora, nasikia hata ukicheka yeye anapiga yowe kama vile kaumwa na siafu ila hatoi macho utadhani yuko labour room!!

Babu DC!!
 
Unacheka nini wewe Madame B wakati mjukuu wangu Erickb52 yuko ICU utadhani amekunywa maji ya sausage tree??

saustr2b.jpg

sausage.tree.jpg

Enzi zetu mtu akinywa hiyo kitu lazima na majirani waje kutoa msaada!!

Babu DC!!
Babu huo ni mdodoki eeeh dah ukichanjia ile kitu inakuwa safi sana kwa Madame B lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom