HaahhahZizu ni kocha bora duniani kwa sasa wanaosema mpango koni wao wapanga lambalamba
Naona unaungana na wanaodai ni mpanga koni tu...mmhhHuyu siyo kocha wa mzuri sema timu ameikuta ipo vizuri, hakuna alichokibadirisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona we ni mtu wa Mpira kwa analysis ndogo tu uliofnya...kudosNapenda "terminology" waitumiayo watu wa ulaya...kumuita "Coach" manager.
Zidane ni kocha mzuri sababu anawa-manage vyema wachezaji wake. Anafanya maamuzi yake mwenyewe, hata Perez anashindwa kumuingilia. Anawaamini makinda kama Vasquez, Asensio, Kovavic and Co. Anajua kuwatumia mastaa wake ipasavyo bila kusababisha imbalance yeyote kwenye timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia cr7 hatakuwepo ngoja tuone atawapangaje keshoNapenda "terminology" waitumiayo watu wa ulaya...kumuita "Coach" manager.
Zidane ni kocha mzuri sababu anawa-manage vyema wachezaji wake. Anafanya maamuzi yake mwenyewe, hata Perez anashindwa kumuingilia. Anawaamini makinda kama Vasquez, Asensio, Kovavic and Co. Anajua kuwatumia mastaa wake ipasavyo bila kusababisha imbalance yeyote kwenye timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria....
a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba?
b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu aliyorithi.
Kuna watu wanahisi huyu jamaa ni mpanga kone tu...
Njooni tujadili...
Kajumuishwa kikosini ila ni vigumu kuanza hapo kesho.nasikia cr7 hatakuwepo ngoja tuone atawapangaje kesho
Thanks!Naona we ni mtu wa Mpira kwa analysis ndogo tu uliofnya...kudos